Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acheee uzinziAcha ubwegwe wewe, we umekuwa doctor, kilaza ni ww...
Huyo keshapt mwingine, yupo hisialessMpenzi wangu ni mwanafunzi wa chuo hivyo huwa tunakutana wakati wa likizo tu, nimedumu nae kwa muda sasa na mimi ndio nilikuwa mwanaume wake wa kwanza lakini awamu hii alivyokuja mambo yamekuwq tofauti kwanza tulikubalina nae twende kwa dr. Akachome sindano kwajili ya kuzuia ujauzito na tulipoanza kufanya mapenzi mpenzi wangu alilalamika sana anaumia na kesho yake maumivu yalikuwa makali sana akawa analia mpaka tukashindwa malizia mechi kwa ufupi nilishangaa sana ile hali kwani hata kipindi nadate nae kwa mara ya kwanza hakulalamika kiasi kile.Wakuu naombeni ushauri kwani tunashndwa kuelewa tatizo yeye mwenyewe anabaki analia haelewi anafanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaeleza anapata maumivu wakati wa SEX AU AFTER SEX....Mpenzi wangu ni mwanafunzi wa chuo hivyo huwa tunakutana wakati wa likizo tu, nimedumu nae kwa muda sasa na mimi ndio nilikuwa mwanaume wake wa kwanza lakini awamu hii alivyokuja mambo yamekuwq tofauti kwanza tulikubalina nae twende kwa dr. Akachome sindano kwajili ya kuzuia ujauzito na tulipoanza kufanya mapenzi mpenzi wangu alilalamika sana anaumia na kesho yake maumivu yalikuwa makali sana akawa analia mpaka tukashindwa malizia mechi kwa ufupi nilishangaa sana ile hali kwani hata kipindi nadate nae kwa mara ya kwanza hakulalamika kiasi kile.Wakuu naombeni ushauri kwani tunashndwa kuelewa tatizo yeye mwenyewe anabaki analia haelewi anafanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru mkuu kwa ushauriInawezekana ni chango
Au pengine ni maudhi ya sindano aliyochoma.
Pengine ni serious issue unaweza kwenda hospital ukapata uhakika zaida.
[emoji252] [emoji479]
Mmmmh hapana mkuu sijawahi mpa mimba mkuuAtakua kawai kutoa mimba bila kusafishwa mkuu
Wengine labda walimpa
Muda gan,,baada ya sex anasikia maumivu,, Nina maana unapomwingilia tu,,au baada ya muda gn maumizvu hutokea
Mpenzi wangu ni mwanafunzi wa chuo hivyo huwa tunakutana wakati wa likizo tu, nimedumu nae kwa muda sasa na mimi ndio nilikuwa mwanaume wake wa kwanza lakini awamu hii alivyokuja mambo yamekuwq tofauti kwanza tulikubalina nae twende kwa dr. Akachome sindano kwajili ya kuzuia ujauzito na tulipoanza kufanya mapenzi mpenzi wangu alilalamika sana anaumia na kesho yake maumivu yalikuwa makali sana akawa analia mpaka tukashindwa malizia mechi kwa ufupi nilishangaa sana ile hali kwani hata kipindi nadate nae kwa mara ya kwanza hakulalamika kiasi kile.Wakuu naombeni ushauri kwani tunashndwa kuelewa tatizo yeye mwenyewe anabaki analia haelewi anafanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru mkuuhiyo inaitwa Dyspareunia inaweza kuwa Psychological au ana Pelvic Pathology kama Endometriosis au hata PID!