Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poa dada mcheki hata fcbook ndo utampata kirahisi
Mwekundu kwani imekuaje mpaka mdau umepewa Ban.
Mods naomba nimuombee msamaha Mwekundu, inawezekana alipitiwa tu.
King'asti ukweli ni kuwa mie si mtu wa mazoezi kiviile. Na maumivu hayo huanzia kinenani mpaka ndani ya tumbo. Na huwa nikijaribu kuingiza kidole, hukuta uke umevimba si kawaida na maumivu ya tumbo makali.
Ana kababy kamoja kazurije?Wee nenda hospital. Isijekuwa uterus inataka kuanguka, kwani una watoto?
ana kababy kamoja....kazurije?
Hilo tatizo hutokea kwa kufanya mapenzi na Mwanaume huyohuyo? Au hata wanaume wengine? Yaweza kuwa Sperm zake zinakuletea aleji
madam b ndoa huna mchakamchaka wa nini? okoka kama mimi
Kama hospitali hawaoni tatizo jaribu mitishamba inasaidia sana hilo laweza kuwa chango.
acha kupiga game kabisa
si ujiendeee usista tu, njia zote hizo za nini bhana
Kamoja tu hakawezi angusha kizazi, bora tu aende akachekiwe.
Hongera zake kwa kuwa na kabeby kazuri