Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

Mwekundu kwani imekuaje mpaka mdau umepewa Ban.

Mods naomba nimuombee msamaha Mwekundu, inawezekana alipitiwa tu.
 
Wee nenda hospital

Isijekuwa uterus inataka kuanguka, kwani una watoto?

King'asti ukweli ni kuwa mie si mtu wa mazoezi kiviile. Na maumivu hayo huanzia kinenani mpaka ndani ya tumbo. Na huwa nikijaribu kuingiza kidole, hukuta uke umevimba si kawaida na maumivu ya tumbo makali.
 
Madame B,

Hilo tatizo hutokea kwa kufanya mapenzi na Mwanaume huyohuyo? Au hata wanaume wengine? Yaweza kuwa Sperm zake zinakuletea aleji.
 
Madam b ndoa huna mchakamchaka wa nini? okoka kama mimi
 
Kama hospitali hawaoni tatizo jaribu mitishamba inasaidia sana hilo laweza kuwa chango.
 
Hilo tatizo hutokea kwa kufanya mapenzi na Mwanaume huyohuyo? Au hata wanaume wengine? Yaweza kuwa Sperm zake zinakuletea aleji

mfarisayo, wajua mie sina ndoa hvo niko huru. Ila uhuru huo siutumii vibaya. Awali nilidhani ni sperm btw nikaja gundua sizo.
 
Last edited by a moderator:
madam b ndoa huna mchakamchaka wa nini? okoka kama mimi

Shoga, kuokoka ni janga la Taifa kwangu. Ngoja nijifikirie mpendwa. Mchaka mchaka muhimu katika kuboresha maungo.
 
Kamoja tu hakawezi angusha kizazi, bora tu aende akachekiwe.

Hongera zake kwa kuwa na kabeby kazuri

Labda nikachekiwe upya maana huwa nina kawaida ya kucheck afya na mwili wangu kiujumla.

Asante mamito.
 
Back
Top Bottom