Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

Huwa kuna matatizo/magonjwa yanasababisha maumivu, mshauri waende kwa Dr wa magonjwa ya kina mama watapata tiba na maumivu yataisha
hili ndio jibu la uhakika lifanyie kazi.

Maendeleo hayana chama
 
Naomba utulie kidogo ndipo usome haya ninayo kueleza. Nimewahi kukutana na mtu mwenye tatizo ka hili lako ndipo nilipochunguza nikayagundua haya:

1. Yule mama alikuwa hampendi yule mwanamume.

2. Alikuwa na mpenzi wake mwingine wakati huo huo. hivyo akawa hawezi kumtimizia huyu mume kwani alikuwa anatekenywa kisawasawa kule nje.

Mwanamke awaye yote. Hatashindwa kumhimili mume wake kama akimpenda. Hata ungekuwa na lile hogo la Gyang'ombe, halimtishi tena huwa ndio furaha yake kuwa, umempa pingili zake zote. Bora awe tiyari kuzipokea tu. Hatalia maumivu bali furaha. Utaona mashuka yamekuwa mekundu lakini mtu akitoka, mbona tabasam haiishi? Nasema haya kwani humu humu JF wapo wanawake watasema walikutana na hayo leo weshayakubali.

Ukisikia mwanamke anasema ati anaumia, huyo si wa kawaida. Anataka uende wapi? Si akuambie wazi kuwa, Nakuletea msaidizi? Akamlete yeye mwenyewe kwani kaishindwa kazi yake. Hebu fikiri; Kama hii si unyanyasaji wa kijinsia, alale hapo kando yako mwezi mzima ati anaumia. Nasema; Haiwezekani. Aruhusu hata kichwa tu kifikie G spot.
 
Huu ushauri ndo wakufanyia kazi

Mwanamke awaye yote. Hatashindwa kumhimili mume wake kama akimpenda. Hata ungekuwa na lile hogo la Gyang'ombe, halimtishi tena huwa ndio furaha yake kuwa, umempa pingili zake zote. Bora awe tiyari kuzipokea tu. Hatalia maumivu bali furaha. Utaona mashuka yamekuwa mekundu lakini mtu akitoka, mbona tabasam haiishi? Nasema haya kwani humu humu jf wapo wanawake watasema walikutana na hayo leo weshayakubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana kaka
 
Peleka mdomo huko kunako pawe palaini ndio upige pushapu.
 
Duh.
 
Pamoja sna mkuu
hata Wangu alikuwaga hivyo hivyo,,yaani UKIMTAJIA KUGEGEDA anaona kama nampa ADHABU, nilipojuwa TATIZO, NIKALIFANYIA KAZI, sasa HIVI anafurahia DUSHE, hatari, wala sina shida ya KUWEKA ALARM YA KUNIAMSHA. KILA ikifika SAA KUMI NA MOJA ALFAJIRI ANANIAMSHA, NIMPASUE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisaidieni kuhusu hili, inakuaje mwanamke anadai anahisi maumivu wakat wa tendo la ndoa, ni kwamba uume mkubwa au namna ya kufanya nae, ila tatzo style zote anadai maumivu anayasikia
Kama hili tatizo hakuwa nalo mwanzo bas huenda kuna shida ya kiafya muoneni daktari ili kupata ufumbuzi zaid mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa unamtia akiwa mkavu mlainishe kule ndani kuteleze kama kambale, utaniambia kama atalalamika.
 
Tatizo hili huwasumbua baadhi ya wanawake walio katika umri wa kuzaa, yaani kuanzia miaka 18 hadi 40. Tatizo huweza kuanza ghafla au taratibu pale mwanamke anapofanya tendo . Maumivu haya hutokana na hali ya mabadiliko ukeni ambapo uke huwa mkavu daima au mwanamke anapata vipindi vya ukavu ukeni na katika mlango wa kizazi pia husababisha tatizo hili .

Maumivu yanaweza kuwa ndani ya kizazi , yaani wakati wa tendo unahisi kuna kitu kinasukumwa na ukahisi maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kiuno wakati wa tendo . Maumivu pia yanaweza kutokea baada ya tendo la ndoa , mwanamke akafanya tendo la ndoa vizuri lakini anapomaliza tu akijigeuza anahisi maumivu chini ya kitovu na kiuno na wakati mwingine hata kichefuchefu.

Chanzo cha tatizo Tumeona vyanzo vitatu vya maumivu wakati wa tendo ambavyo ni ukavu ukeni. Huu unatokana na maandalizi hafifu kabla ya endapo hakuna maandalizi yoyote basi uke unakuwa mkavu na unashindwa kufanya tendo au linafanyika kwa nguvu . Ukavu unaweza kusababishwa na kutokuwa na hamu ya tendo au kutojisikia kufanya tendo , hili linaweza kusababishwa na matatizo ya kisaikolojia au katika mfumo wa homoni.

Michubuko ukeni na katika mdomo wa kizazi husababishwa na maambukizi , kansa au kufanya tendo la ndoa kwa nguvu bila maandalizi au ubakaji .
Maambukizi ukeni huambatana na kutokwa na uchafu wenye harufu na muwasho . Maambukizi yanaweza kusababishwa na fangasi, bakteria na magonjwa ya zinaa.

Maumivu ya ndani hutokana na maambukizi katika viungo vya uzazi mfano , ndani ya kizazi , mirija na vifuko vya mayai . Maambukizi haya huanzia ukeni na kusambaa hadi ndani ya kizazi , lakini pia yanaweza kuanzia kwa ndani hasa baada ya kuharibika au kutoa mimba . Dalili za tatizo Maumivu wakati wa tendo la ndoa yanaweza kuanza mara tu tendo linapoanza , au tendo linapoendelea. Vilevile maumivu yanaweza kutokea baada ya tendo kumalizika .

Mwanaume pia anaweza kupata maumivu wakati wa tendo au baada ya tendo kutokana na michubuko katika uume , matatizo katika misuli ya uume , maambukizi ndani ya njia ya mkojo na matatizo ya korodani . Maumivu ya kiuno kwa wanaume na wanawake pia ni mojawapo ya tatizo kubwa. Uchunguzi Tatizo hili la maumivu wakati wa tendo la ndoa huchunguzwa hospitali ambapo vipimo mbalimbali hufanyika kadiri daktari atakavyoona inafaa .

Vipimo vya kuangalia ukeni, damu , mkojo na Ultrasound hufanyika kutegemea na ukubwa wa tatizo . Ushauri Ni vema uwahi hospitali kwa uchunguzi wa kina na tiba .

Tatizo likiwa sugu yaani kukusumbua mara kwa mara husababisha upotevu wa hamu na raha ya tendo . Kwa mwanaume hata uwezo wa kufanya tendo la ndoa hupotea . Waone madaktari katika hospitali ya mkoa na wilaya kwa uchunguzi na tiba .
Asante kwa maelezo toshelevu [emoji122][emoji122][emoji122]
 
dada anna maria hali kama hiyo hutokea mara kwa mara hasa kama utakuwa ume ovadue hiyo sex. pia kama siku nyingi hujawah kufanya basi siku ukifanya lazima uumwe na hata mwili mzima huuma sana hasa mbavu, mapaja na mikono na misuli ya tumbo. ndani ya tumbo la uzazi pia panaweza kuuma kutokana na kuchubuka lakin baada ya muda hupona.

kwakua umeshapima na huna magonjwa ya ngono basi jua ni kwasababu ya zoezi husika tu mfano leo hii kama wewe siyo mtu wa mazoez ukikimbia laps 3 ama 4 kwenye football pitch lazima miguu na mwii wote uume la ukizoea basi huumii tena.

Kingsmann
 
Back
Top Bottom