Kijana mbona unakuwa muongo sana? Kuna uzi mwingine umesema ww ni Mwanaume umekaa miez saba mkeo hajapata mimba!!Nikiwa na umri wa mika 19 nilitoa mimba hospitali hii ni kwasababu nilikuwa shule, sikuona madhara yake kwa wakati huo.MUNGU si mchoyo baada ya umri wa kuolewa kufika nilipata mume.
Kwasababu nilikua nableed vema sikua na shaka kwamba naweza kutopata mimba tena lakini hii inanitokea sasa, japo naingia kwenye siku zangu lakini mtoto sijapata,matatizo ya kutoshika mimba yanasababishwa na nin?Nataka kuokoa ndoa yangu.
"Tiba Za Aina Hii Nashindwaga Kuzielewa Zinafanyaj Fanyaje Kazi???? Kiasi Kwamba Naonaga Ni Story Au Kuna Sayansi Gani Hapa??
Waafrika bwana,dactari anapokuambia kuwa kunywa hii dawa mara baada ya kula/kutokula kitu kuna uhusiano wowote?La kukaanga mahindi naweza kuliamini. Lakini la kulia chooni hilo haliingii akilini. Tutoe mawaidha ambayo yana sayansi inayoeleweka.
Nyinyi si mnakula chipsi kuku zetu.Na wale wanaowapa wao ni kina nani? Na kila siku mmekalia kutusimanga ooo single maza oooh balahblah
😱😱😱 Huyu atakuwa Delicious au Salama Jabbir.Kijana mbona unakuwa muongo sana?? Kuna uzi mwingine umesema ww ni Mwanaume umekaa miez saba mkeo hajapata mimba!!
Hapa unasema ww ni mwanamke ulitoa mimba!!
So ww ni jikedume au??
Kwa doctor mwaka ujipange maana pale pesa tu ukiwa napesa utaponatatizo la uzazi limekuwa kilio kikubwa fika kwa docta mwaka suluhisho utalipata naamini utanipenda
Wengi ni wahanga wa ili tatizo nafikiri, Ungetoa maelezo ya kutosha mdau kuhusu hao madaktari wa Nairobi kamaNairobi kuna daktari mzuri sana wa mambo hayo na wote waliokwenda wamefanikisha ninao ushahidi wa hilo
Asante sanaPole sana mkuu,
Naamini nafsi yako inaumia sana tena hasa kwa hali hiyo ngumu unayopitia pia kumbuka mtoto ni zawadi toka kwa Mungu mwenyewe siyo kama baadhi yetu wanavyosema huku jukwaani tena kwa kujisahau.
Ninaamini nafasi mzuri kwa muda unaompendeza Mungu utapata mtoto Ila ukiwa na nafasi unaweza kuni-PM ila pole sana kwa hali hiyo ni ya muda tu.
u