Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Nikiwa na umri wa mika 19 nilitoa mimba hospitali hii ni kwasababu nilikuwa shule, sikuona madhara yake kwa wakati huo.MUNGU si mchoyo baada ya umri wa kuolewa kufika nilipata mume.

Kwasababu nilikua nableed vema sikua na shaka kwamba naweza kutopata mimba tena lakini hii inanitokea sasa, japo naingia kwenye siku zangu lakini mtoto sijapata,matatizo ya kutoshika mimba yanasababishwa na nin?Nataka kuokoa ndoa yangu.
Kijana mbona unakuwa muongo sana? Kuna uzi mwingine umesema ww ni Mwanaume umekaa miez saba mkeo hajapata mimba!!

Hapa unasema ww ni mwanamke ulitoa mimba!!

So ww ni jikedume au?
 
Pole mwaya kama upo serious nitafute tunaweza kuelewa zaidi kinahitajika nini na ukaokoa ndoa yako.
 
Ukimaliza tendo usikimbilie chooni kunawa huko ikulu. Tulia kama lisaa lizima.epuka kuvaa viatu vya mchuchumio.pia mwambie shemej akapime huenda ye hawez kutungisha mimba sina uhakika kama yai moja ulitoa ndo likufanye ushindwe kupata mimba.
 
"Tiba Za Aina Hii Nashindwaga Kuzielewa Zinafanyaj Fanyaje Kazi???? Kiasi Kwamba Naonaga Ni Story Au Kuna Sayansi Gani Hapa??
La kukaanga mahindi naweza kuliamini. Lakini la kulia chooni hilo haliingii akilini. Tutoe mawaidha ambayo yana sayansi inayoeleweka.
Waafrika bwana,dactari anapokuambia kuwa kunywa hii dawa mara baada ya kula/kutokula kitu kuna uhusiano wowote?
 
Kijana mbona unakuwa muongo sana?? Kuna uzi mwingine umesema ww ni Mwanaume umekaa miez saba mkeo hajapata mimba!!

Hapa unasema ww ni mwanamke ulitoa mimba!!

So ww ni jikedume au??
😱😱😱 Huyu atakuwa Delicious au Salama Jabbir.
 
Hii inawakumba xna mabinti wengi waliotoa mimba ktk umri mdogo, nenda tu mwaka akapige hela.
 
Onana na Dk Mwaka ni suluhisho la matatizo ya uzazi
 
Nairobi kuna daktari mzuri sana wa mambo hayo na wote waliokwenda wamefanikisha ninao ushahidi wa hilo
Wengi ni wahanga wa ili tatizo nafikiri, Ungetoa maelezo ya kutosha mdau kuhusu hao madaktari wa Nairobi kama
1. Jina la huyo daktari
2. Garama zake
3. Jina la hospitali au kituo anachofanyia kazi n.k
 
Habari zenu,

Mi ni mwanamke wa miaka 26, nina miaka mitatu tangu nijiachie ili nipate mimba lakini sijapata; nikaenda hospitali nyingi ikiwe regency, nikaambiwa nna uvimbe kwenye mayai na nkapewa dawa lakin hazikunisaidia. Na mume wangu alishapima yupo sawa.

Nikaenda Chanika kwa dokta. Kapona akanambia nna layer inayoziba mayai yaliyopevuka kutoka na inabidi nifanyiwe operation, nikakubaliana nae nikafanyiwa operation. Na nkapewa na dawa pia. Na akanambia ntashika mimba ndani ya miezi mitatu.

Lakin sasa ni miezi sita sijapaja mimba, naumia sana sana yani sijui niwaambiaje na nashindwa kuelewa nifanyeje tena.

Naombeni msaada wa mawazo.
 
Pole sana mkuu,

Naamini nafsi yako inaumia sana tena hasa kwa hali hiyo ngumu unayopitia pia kumbuka mtoto ni zawadi toka kwa Mungu mwenyewe siyo kama baadhi yetu wanavyosema huku jukwaani tena kwa kujisahau.

Ninaamini nafasi mzuri kwa muda unaompendeza Mungu utapata mtoto Ila ukiwa na nafasi unaweza kuni-PM ila pole sana kwa hali hiyo ni ya muda tu.
 
Pole sana mkuu,

Naamini nafsi yako inaumia sana tena hasa kwa hali hiyo ngumu unayopitia pia kumbuka mtoto ni zawadi toka kwa Mungu mwenyewe siyo kama baadhi yetu wanavyosema huku jukwaani tena kwa kujisahau.

Ninaamini nafasi mzuri kwa muda unaompendeza Mungu utapata mtoto Ila ukiwa na nafasi unaweza kuni-PM ila pole sana kwa hali hiyo ni ya muda tu.
u
Asante sana
 
Hilo tatizo limeshakuwa sugu sasa.

Katika maelezo yako umeeleza wewe tu ndiye ulienda kufanya hayo matibabu vipi kuhusu huyo mume wako naye ameshafanyiwa uchunguzi kujua kuwa na yeye mbegu zake zinauwezo wa kurutubisha hilo yai?

Mambo hayo huwa yanatokea na inahitaji uvumilivu tu mimi mwenyewe nina ushuhuda kwa hilo jambo lilimtokea mwanamke wangu mmoja hivi tulidumu kwa muda sana kwanza alikuwa hashiki kabisa ujauzito baadaye ikawa akishika ujauzito akipata pressure kidogo tu inaharibika ila sasa hivi anasubiri kujifungua baada ya kwenda pale Marie Stopes.

Umri wako na wake hampishani sana though yeye ana miaka 28 sasa hivi. Nakushauri muombe na mwenza wako nayeye akajicheki kama yupo sawa.
 
Back
Top Bottom