Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Kwanza Pole Sana!

Kisha Kutokana Na Maelezo Yako Ni Wasi wasi wangu tu kuwa Huenda Ukawa ulikumbwa na Tatizo la "Ovarian Cysts" ambalo lina uwezo wa kusababisha Utasa ikiwa halitotibiwa Mapema.

Halafu Nakushauri Uendelee Kufuatilia Tatizo lako Kwa Wataalamu Wa Afya (Doctors) na jipe moyo kuwa utapona tu Akipenda Mungu! kwani ukikata tamaa ndiyo safari ya Kizazi nayo inastop.

Na mwisho labda nikuulize Umeolewa (Yaani unaye mume)??
 
Nishasikia watu wakisema kuwa kama ukiwa umepania sana kupata mimba hupati, au unaweza hata kufungua kuona siku zako kwa kudhani una mimba kumbe sio! pole sana endelea na matibabu ipo siku utafanikiwa.
 
Dada pole sana kwa ilo tatizo ulilonalo but fuata ushauri uliopewa na wadau apo juu unaweza pata ufumbuzi wa tatizo lako.
 
Nimeeleza mkuu mume nae alienda kupima yupo sawa, asante sana mkuu
 
Endelea kuwaona magyno wengine huku ukimuomba Mungu. Umri wako ni.mdogo utapata tu Mtoto.
 
Pole sana ukishindwa kote ulipo shauriwa kushika mimba nitafute mimi nipate kukutibia upate kushika mimba.Ukinihitaji nipate kukutibia
 
Pole sana muone mkuu Hornet anaweza kukusaidia, nina ushuhuda wa ndugu yangu baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 10 bila mtoto na alipitia vipimo vingi bila mafanikio, nikaona ushuhuda humu JF mtu akisema dawa hizo zimemsaidia nikamtafuta Hornet na akanipatia dawa kwa njia ya basi maana tuko mikoa tofauti ndugu yangu alifanikiwa kubeba ujauzito na sasa ni mama wa mabinti wawili wachanga, dawa yenyewe hakuna mtu alie iamini maana unachanganya na nyama nundu na maini bila kuweka maji halafu unakula basi. Jaribu mkuu Mungu wetu ni mwema sana atakusaidia tu.
 
Duuuuu, pole sana mkuu. Unajua unavyokuwa unataka kupata mtoto unakuwa unahamaki sana km ilivyotokea kwangu. Lkn jaribu kutulia usiwaze sana, ukiwaza sana utavuruga hata cycle yako. Mim mwenyew tumejaribu kwa miezi 3 ilishindikana lkn tulivyojaribu mwez wa 4 Mungu akatujalia ujauzito. So jipe moyo mkuuu
 
Da mimi kuna mdada namjua alikuwa na tatizo hilo kwa mda sana ila mwishoni alitumia dawa za asili akaja kupata watoto, tena nayeye alikuwa anaambiwa hivyohivyo mahospitaly kuwa hana tatizo lolote,hapo dada yangu jaribu saana kutumia dawa za mitishAmba,huenda sikasaidia
 
 
 
 
Mkuu pole sana hayo matatizo yanawakumba wengi, kuna rafiki yangu alikuwa tatizo kama hilo hilo akaenda hospital wakampa dawa ambazo anatakiwa kumeza akianza period at da end akafanikisha. Kuna wataalamu wanasema msongo wa mawazo pia unaweza kuchangia, mie ningekushauri uwaone madaktari specialist coz wale wanajua mambo mengi sana ya uzazi. Pia ushauri na mwenzio usije ukadhani wewe ndio mwenye tatizo kumbe ata yeye ndie kasababisha
 
Ngoja nimsaidie kumuita Hornet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…