souljah meditater
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,146
- 2,098
Duh pole sana, endelea kuomba Mungu bila kuchoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeeleza mkuu mume nae alienda kupima yupo sawa, asante sana mkuuHilo tatizo limeshakuwa sugu sasa.
Katika maelezo yako umeeleza wewe tu ndiye ulienda kufanya hayo matibabu vipi kuhusu huyo mume wako naye ameshafanyiwa uchunguzi kujua kuwa na yeye mbegu zake zinauwezo wa kurutubisha hilo yai?
Mambo hayo huwa yanatokea na inahitaji uvumilivu tu mimi mwenyewe nina ushuhuda kwa hilo jambo lilimtokea mwanamke wangu mmoja hivi tulidumu kwa muda sana kwanza alikuwa hashiki kabisa ujauzito baadaye ikawa akishika ujauzito akipata pressure kidogo tu inaharibika ila sasa hivi anasubiri kujifungua baada ya kwenda pale Marie stops.
Umri wako na wake hampishani sana though yeye ana miaka 28 sasa hivi.
Nakushauri muombe na mwenza wako nayeye akajicheki kama yupo sawa.
Pole sana ukishindwa kote ulipo shauriwa kushika mimba nitafute mimi nipate kukutibia upate kushika mimba.Ukinihitaji nipate kukutibiaHabari zenu, mi ni mwanamke wa miaka 26, nna miaka mitatu tangu nijiachie ili nipate mimba lakini sijapata nikaenda hospitali nyingi ikiwe regency, nikaambiwa nna uvimbe kwenye mayai na nkapewa dawa lakin hazikunisaidia. Na mume wangu alishapima yupo sawa.
Nikaenda chanika kwa dr kapona akanambia nna layer inayoziba mayai yaliyopevuka kutoka na inabidi nifanyiwe operation, nikakubaliana nae nikafanyiwa operation. Na nkapewa na dawa pia. Na akanambia ntashika mimba ndani ya miezi mitatu.
Lakin sasa ni miezi sita sijapaja mimba, naumia sana sana yani sijui niwaambiaje na nashindwa kuelewa nifanyeje tena. Naombeni msaada wa mawazo.
Pole sana muone mkuu Hornet anaweza kukusaidia, nina ushuhuda wa ndugu yangu baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 10 bila mtoto na alipitia vipimo vingi bila mafanikio, nikaona ushuhuda humu jf mtu akisema dawa hizo zimemsaidia nikamtafuta Hornet na akanipatia dawa kwa njia ya basi maana tuko mikoa tofauti ndugu yangu alifanikiwa kubeba ujauzito na sasa ni mama wa mabinti wawili wachanga, dawa yenyewe hakuna mtu alie iamini maana unachanganya na nyama nundu na maini bila kuweka maji halafu unakula basi. Jaribu mkuu Mungu wetu ni mwema sana atakusaidia tu.

Ngoja nimsaidie kumuita HornetPole sana muone mkuu Hornet anaweza kukusaidia, nina ushuhuda wa ndugu yangu baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 10 bila mtoto na alipitia vipimo vingi bila mafanikio, nikaona ushuhuda humu jf mtu akisema dawa hizo zimemsaidia nikamtafuta Hornet na akanipatia dawa kwa njia ya basi maana tuko mikoa tofauti ndugu yangu alifanikiwa kubeba ujauzito na sasa ni mama wa mabinti wawili wachanga, dawa yenyewe hakuna mtu alie iamini maana unachanganya na nyama nundu na maini bila kuweka maji halafu unakula basi. Jaribu mkuu Mungu wetu ni mwema sana atakusaidia tu.