Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Uliambiwa ni Ovarian cysts or PCOS, kama ni PCOS nitafute nkusaidie kwa tips za kubadilisha mfumo wa ulaji utapata.
 
Hivi nilitaka niulize je dawa aina ya Splina na nyingine inaitwa shake off inayo tengenezwa na company inaitwa Edmark inasaidia matatizo ya uzazi hususan katika kushika mimba?
 
Swala la uzazi ni pana sana mkuu. Nashauri uende kupima tena wote na mke/me wako mjue nini kinasababisha usipate mimba.

Kama unaamua kutumia hizo traditional medicine hakikisha zinaenda kutatua hicho chanzo.

NB: Nashauri ongea na daktari wako wakati huo unaendelea na tiba. Usiende tu kununua na kumeza. Utakula na sumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nilitaka niulize je dawa aina ya Splina na nyingine inaitwa shake off inayo tengenezwa na company inaitwa Edmark inasaidia matatizo ya uzazi hususan katika kushika mimba?

Mimi siamini binafsi yangu ila ninachoamini ni kwenda hospitali ukajuzwe nini hasa chanzo cha kutoshika mimba then utaweza kuendela toka hapo.
 
Samahani wanajamvi,

Mie ni mwanamke mwenye Umri wa Miaka 30, nina mtoto mmoja wa kiume mwenye Miaka 5! Sasa Tatizo nililonalo saivi nashindwa kupata ujauzito; hii ni baada ya kuacha kutumia njia za uzazi wa Mpango ambapo nilituma kwa miaka 3 mfululizo, ila mwaka jana niliacha. Umetimia mwaka sasa najaribu kushika mimba bila mafanikio!

Naomba msaada nifanye nini? Shukrani kwa Wote watakao toa mawazo.
 
Wakati unasubiri majibu kutoka kwa madaktari wa JF Nendeni kituo cha afya mkamuone daktari wa uzazi kwa ushauri zaidi la sivyo utaishia kutapeliwa.
 
Pole, dawa za uzazi wa mpango huwa zinasababisha hormonal imbalance au kupelekea kupotea kwa menstruation mf sindano za Depo provela. Hizi huzuia mfumo wa progesterone hormone na hivyo breeding inakata. Hapo unahitaji dawa za ku-reverse the situation ambazo mzunguko utaanza kwa kuwa irregular but baadae unastabilize.

Kuna baadhi kuwa situation hai-reverse na wanaishia kuwa wagumba maana dawa hizo hupelekea kansa au kuharibika kwa mfumo wa uzazi.

Kuna dawa tunatumia kurekebisha hali hii inaitwa Duphaston (Dydrogenosterone) 1x1 kwa mwezi mmoja.

Ushauri: Nenda hospital onana na Gynecologist atakushauri vzr.

NB: Dawa za uzazi wa mpango si nzuri!
 
Pole, dawa za uzazi wa mpango huwa zinasababisha hormonal imbalance au kupelekea kupotea kwa menstruation mf sindano za Depo provela. Hizi huzuia mfumo wa progesterone hormone na hivyo breeding inakata. Hapo unahitaji dawa za ku-reverse the situation ambazo mzunguko utaanza kwa kuwa irregular but baadae unastabilize. Kuna baadhi kuwa situation hai-reverse na wanaishia kuwa wagumba maana dawa hizo hupelekea kansa au kuharibika kwa mfumo wa uzazi.

Kuna dawa tunatumia kurekebisha hali hii inaitwa Duphaston (Dydrogenosterone) 1x1 kwa mwezi mmoja.

Ushauri: Nenda hospital onana na Gynecologist atakushauri vzr.

NB: Dawa za uzazi wa mpango si nzuri!
Asante kwa ushauri ntaufanyia kazi.
 
Pole kwa hayo hilo tatizo lako kwa haraka haraka linaonesha ni tatizo la kuvurugika kwa homoni zako ila ni kwenda hosipitali kwenda umwelezee daktari aone ka unaweza pata vipimo na ni vipimo gani, una mwili mkubwa/overweight? siku zako unaziona kama kawaida?
 
Pole, dawa za uzazi wa mpango huwa zinasababisha hormonal imbalance au kupelekea kupotea kwa menstruation mf sindano za Depo provela. Hizi huzuia mfumo wa progesterone hormone na hivyo breeding inakata. Hapo unahitaji dawa za ku-reverse the situation ambazo mzunguko utaanza kwa kuwa irregular but baadae unastabilize.

Kuna baadhi kuwa situation hai-reverse na wanaishia kuwa wagumba maana dawa hizo hupelekea kansa au kuharibika kwa mfumo wa uzazi.

Kuna dawa tunatumia kurekebisha hali hii inaitwa Duphaston (Dydrogenosterone) 1x1 kwa mwezi mmoja.
Ushauri: Nenda hospital onana na Gynecologist atakushauri vzr.

NB: Dawa za uzazi wa mpango si nzuri!
Mh kama si nzuri tutatumia nini? Mana usipokua makini wengine via vyao vya uzazi vipo mlangoni s ndio kubeba mimba bila mahesabu mkuu? Natamani kupata darasa hasa mana waoenkana wajua zaidi tafadhali nijuze kama njia hizo s salama tutumie nini.
 
Mh kama si nzuri tutatumia nini,? Mana usipokua makini wengine via vyao vya uzazi vipo mlangoni s ndio kubeba mimba bila mahesabu mkuu? Nataman kupata darasa hasa mana waoenkana wajua zaidi tafadhali nijuze kama njia hizo s salama tutumie nini.
Tumia kalenda na kondomu.
 
Mh kama si nzuri tutatumia nini? Mana usipokua makini wengine via vyao vya uzazi vipo mlangoni s ndio kubeba mimba bila mahesabu mkuu? Natamani kupata darasa hasa mana waoenkana wajua zaidi tafadhali nijuze kama njia hizo s salama tutumie nini.

Kama kuna MTU anasumbuliwa na changamoto ya kutoshika Mimba mwambie ajaribu kuja hapa JF aniPM.
 
Back
Top Bottom