Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Kwangu mimi ndio Fainali kwani wewe ulitaka nisemeje?Kwa nini usubili ashindwe kote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwangu mimi ndio Fainali kwani wewe ulitaka nisemeje?Kwa nini usubili ashindwe kote?
Hivi nilitaka niulize je dawa aina ya Splina na nyingine inaitwa shake off inayo tengenezwa na company inaitwa Edmark inasaidia matatizo ya uzazi hususan katika kushika mimba?
NdioUnaishi na mume?
NdioUnaishi na mume?
NdioUnaishi na mume?
Asante kwa ushauri ntaufanyia kazi.Pole, dawa za uzazi wa mpango huwa zinasababisha hormonal imbalance au kupelekea kupotea kwa menstruation mf sindano za Depo provela. Hizi huzuia mfumo wa progesterone hormone na hivyo breeding inakata. Hapo unahitaji dawa za ku-reverse the situation ambazo mzunguko utaanza kwa kuwa irregular but baadae unastabilize. Kuna baadhi kuwa situation hai-reverse na wanaishia kuwa wagumba maana dawa hizo hupelekea kansa au kuharibika kwa mfumo wa uzazi.
Kuna dawa tunatumia kurekebisha hali hii inaitwa Duphaston (Dydrogenosterone) 1x1 kwa mwezi mmoja.
Ushauri: Nenda hospital onana na Gynecologist atakushauri vzr.
NB: Dawa za uzazi wa mpango si nzuri!
Asante kwa ushauriWakati unasubiri majibu kutoka kwa madaktari wa jf Nendeni kituo cha afya mkamuone daktari wa uzazi kwa ushauri zaidi la sivyo utaishia kutapeliwa.
Duphaston (Dydrogenosterone)
Mh kama si nzuri tutatumia nini? Mana usipokua makini wengine via vyao vya uzazi vipo mlangoni s ndio kubeba mimba bila mahesabu mkuu? Natamani kupata darasa hasa mana waoenkana wajua zaidi tafadhali nijuze kama njia hizo s salama tutumie nini.Pole, dawa za uzazi wa mpango huwa zinasababisha hormonal imbalance au kupelekea kupotea kwa menstruation mf sindano za Depo provela. Hizi huzuia mfumo wa progesterone hormone na hivyo breeding inakata. Hapo unahitaji dawa za ku-reverse the situation ambazo mzunguko utaanza kwa kuwa irregular but baadae unastabilize.
Kuna baadhi kuwa situation hai-reverse na wanaishia kuwa wagumba maana dawa hizo hupelekea kansa au kuharibika kwa mfumo wa uzazi.
Kuna dawa tunatumia kurekebisha hali hii inaitwa Duphaston (Dydrogenosterone) 1x1 kwa mwezi mmoja.
Ushauri: Nenda hospital onana na Gynecologist atakushauri vzr.
NB: Dawa za uzazi wa mpango si nzuri!
Tumia kalenda na kondomu.Mh kama si nzuri tutatumia nini,? Mana usipokua makini wengine via vyao vya uzazi vipo mlangoni s ndio kubeba mimba bila mahesabu mkuu? Nataman kupata darasa hasa mana waoenkana wajua zaidi tafadhali nijuze kama njia hizo s salama tutumie nini.
Nakazia hapa.Mkuu, unachanganya habari, mitishamba si uchawi, na hata hizo za hospitali kwa sehemu kubwa zimetokana na mitishamba kama ulikuwa hujuwi.
Mh kama si nzuri tutatumia nini? Mana usipokua makini wengine via vyao vya uzazi vipo mlangoni s ndio kubeba mimba bila mahesabu mkuu? Natamani kupata darasa hasa mana waoenkana wajua zaidi tafadhali nijuze kama njia hizo s salama tutumie nini.