Please majibu kwa asie na nia thabiti ya kujibu na mwenye kutaka kukebehi yataishia kutuua moyo na kutuongezea simanzi
Niko na mme wangu its about 3 yrs now toka tuishi pamoja,,kila tukikutana na kushiriki on dangerous days naishia kubreed damu nyingi sana na maumivu makali..tulienda hospital tukapima zinaa zote bila mafanikio,,,but nkikaribia kubreed nahisi dalili zoote za ujauzito then tunaishia uzuni kwa kubreed damu rundo...one doctor alibaini mbegu za mme wangu kutokua na nguvu za kutosha kutungisha akatupa ushauri na vyakula vya kutumia but tatizo liko palepale,,,juzi doctor mwingine kasema nnashida mimi kwenye mfuko wa uzazi akanpa dawa nkatumia na ziliisha last wik...please madactari ebu tupeni ushauri ili mungu atufungulie tupate mtoto g..tyme ...poleni kwa mgomo unaogusa maisha yenu..asitokee mtu kuwalaumu kana kwamba atumjui adui ni nani
Huwa mnatumia mkao gani wakati wakula tundi?
Niko na mme wangu it's about 3 years now toka tuishi pamoja. Kila tukikutana na kushiriki on danger days naishia kubleed damu nyingi sana na maumivu makali. Tulienda hospitali tukapima zinaa zote bila mafanikio, but nkikaribia kubleed nahisi dalili zoote za ujauzito then tunaishia uzuni kwa kubleed damu rundo. One doctor alibaini mbegu za mme wangu kutokua na nguvu za kutosha kutungisha akatupa ushauri na vyakula vya kutumia but tatizo liko palepale.
Juzi dokta mwingine kasema nina shida mimi kwenye mfuko wa uzazi, akanipa dawa nkatumia na ziliisha last week.
Please madaktari, hebu tupeni ushauri ili Mungu atufungulie tupate mtoto. G'time
Poleni kwa mgomo unaogusa maisha yenu.
Asitokee mtu kuwalaumu kana kwamba hatumjui adui ni nani.
i
Pole sana. Hata mimi hilo tatizo nilikuwa nalo, ila ushauri wangu kama ningepata email yako ningeweza kukushauri vizuri. Pia unaweza kwenda kuonana na Dk. Kapona anakuwa Tumaini kila Ijumaa atakusaidia pia nipate email yako ili tuwasiliane.
POA CECY NNA Shda ntakutumia mail very soonPole sana. Hata mimi hilo tatizo nilikuwa nalo, ila ushauri wangu kama ningepata email yako ningeweza kukushauri vizuri. Pia unaweza kwenda kuonana na Dk. Kapona anakuwa Tumaini kila Ijumaa atakusaidia pia nipate email yako ili tuwasiliane.
Kabla hujakutana na Mr. wako,wewe ktk pilika pilika zako za makuzi ya usichana hukuwahi toa mimba? Samahan madam kwa swali hilo lakin lina logic flani ndani yake.Niko na mme wangu it's about 3 years now toka tuishi pamoja. Kila tukikutana na kushiriki on danger days naishia kubleed damu nyingi sana na maumivu makali. Tulienda hospitali tukapima zinaa zote bila mafanikio, but nkikaribia kubleed nahisi dalili zoote za ujauzito then tunaishia uzuni kwa kubleed damu rundo. One doctor alibaini mbegu za mme wangu kutokua na nguvu za kutosha kutungisha akatupa ushauri na vyakula vya kutumia but tatizo liko palepale.
Juzi dokta mwingine kasema nina shida mimi kwenye mfuko wa uzazi, akanipa dawa nkatumia na ziliisha last week.
Please madaktari, hebu tupeni ushauri ili Mungu atufungulie tupate mtoto. G'time
Poleni kwa mgomo unaogusa maisha yenu.
Asitokee mtu kuwalaumu kana kwamba hatumjui adui ni nani.
......hukuwahi toa mimba?