Niko na mme wangu its about 3 yrs now toka tuishi pamoja,,kila tukikutana na kushiriki on dangerous days naishia kubreed damu nyingi sana na maumivu makali..tulienda hospital tukapima zinaa zote bila mafanikio,,,but nkikaribia kubreed nahisi dalili zoote za ujauzito then tunaishia uzuni kwa kubreed damu rundo...one doctor alibaini mbegu za mme wangu kutokua na nguvu za kutosha kutungisha akatupa ushauri na vyakula vya kutumia but tatizo liko palepale,,,juzi doctor mwingine kasema nnashida mimi kwenye mfuko wa uzazi akanpa dawa nkatumia na ziliisha last wik...please madactari ebu tupeni ushauri ili mungu atufungulie tupate mtoto g..tyme ...poleni kwa mgomo unaogusa maisha yenu..asitokee mtu kuwalaumu kana kwamba atumjui adui ni nani