Gwangambo
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 3,638
- 1,207
Sababu mojawapo ya mimba kutoka mara kwa mara ni ugonjwa wa zinaa ujulikanao kama syphilis, kwa wanawake syphilis huwa latent, yaani dalili zake hazijitokezi nje. Hii ni secondary stage ya sypilis, Tertiary stage watu wanapata ugonjwa uitwao General Paralysis of Insane..(GPI) Ni katika hatua hii mtu anakuwa antisocial na katili. mfani Idd Amin na Hitler walikuwa na GPI.