Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Ok, kwa kifupi ni hivi, mbegu bora huwezi kuziangalia kwa Macho tu ukajua kuwa hixi ni mbegu bora au siyo.

Kinachotakiwa kufanywa ni kupitia katika Uchunguzi uitwao Semen Analysis ndipo watakapojua kuwa unambegu bora au la.

Kwanza tunaangalia Ujazo wa wa fluid unayoitoa ukiwa una ejaculate. Hiki ndo kitu cha kwanza, kawaida kuanzia 3.5mls mpaka 5mls ni normal.

Pili, tunaangalia rangi ya fluid uliyotoa na normal semen ina Rangi ya Umaziwa na pia Unjano kwa mbali. Ila kama fluid ni njano au kijani kuna uwezekano mkubwa wa matatizo katika uzazi hasa infection mfano magonjwa ya zinaa hasa Gonorrhea

Tatu, sasa huku ndipo kuna Technical issues ambapo tunafanya Semen Analysis kwa kuangalia Morphology au Umbo la Sperm moja moja na Jinsi gani Zinavyotembea (motility) pia na idadi (cell count)

Mbegu nzuri zinaonaekana kwa jinsi zinavyokuwa na shepu ya sperm yenyewe na pima zinavyoswim kwa uharaka na Straight forward si kuzunguka sehemu moja.

Kuna mambo mengi ya kitaalamu ni mpaka uingie darasani kidogo hapa sidhani kama tutaelewana.

Ila Cha Msingi ni nenda kapime kipimo cha Semen Analysis. Na kipimo hiki kinahitaji maandalizi ambayo daktari atakuambia.

But few ni haya
1. Unatakiwa usifanye Mapenzi kwa mda wa siku 3 mpaka tano kuupa mwili mda wa kutengeneza mbegu

2. Unapotoa Hiki kipimo hakikisha upo maeneo ya hospital ili kuwahisha kipimo hicho maabara ili kupata majibu sahihi zaidi kuliko kuchelewa Na kusababisha sperm kufa.

3. Unapotoa hiki kipimo jua unaenda kupiga punyeto kwahiyo mujiandae kisaikolojia.

N.k n.k

Mkuu kuna madhara yeyote externality yanayowez kuchelewesha au kutoundwa kabisa kwa mbegu, mfano mazingira, chakula, ufanyaji musturbation, na nk heshima kwako.
 
Kuna kitu kinaitwa pH acidi ambayo hupatikana kwa mwanaume mxmu huwa ni 9 ikizid au ikipungua huwa ni tatixo mwanamke kukosive ushauri mwanamke achukue icho kipimo cha pH na mwanaume pia ijulika IPI ni more power full tatixo litatulike pili mwanamke acheki vichocheo vyake viko haii
 
Jambo humu ndani?

Naombeni wadau mnijuze kwa wanaofahamu. Je, dalili za mwanaume asieweza kutia mimba zikoje? Najua kuna vipimo vya sperm analysis, lakini nataka kujua dalili za awali kabla sijaenda hospitali kupima.

Nina uwezo wa kuenda round za kutosha tu 6 kwa 6, sperm zinatoka nyingi za kutosha tu kwenye goli la kwanza na la pili na zina uzito, sijavuka 30yrs, sina historia ndefu ya kujichua zaidi ya time zile nasoma boarding na niliacha tangu mwaka 2008.

Next week naenda kufanya full check-up na wife mana'ke nipo naye mwaka sasa umeisha, hakuna mimba. Hebu nishaurini; hospitali ipi nzuri hapa Dar es Salaam? Na yeyote mwenye mawazo mema aniongezee wadau, manake nahitaji mtoto haswa. Ukiniuliza chochote ntajibu.

N. B sihitaji jokes.
 
Pole. Lakini bado mapema kuhisi hivyo,na vema ukaenda wewe na yeye hospital.
 
Pole. Lakini bado mapema kuhisi hivyo,na vema ukaenda wewe na yeye hospital.

Yeah Rose ilivyokua miezi mitano nlitaka kwenda hosp wadau wakanambia kuwa ni mapema sana sasa ni mwaka umetimia majuzi sizani kama bado ni mapema. Niombee tu mambo yawe mazuri pande zote.
 
Last edited by a moderator:
Yeah Rose ilivyokua miezi mitano nlitaka kwenda hosp wadau wakanambia kuwa ni mapema sana sasa ni mwaka umetimia majuzi sizani kama bado ni mapema. Niombee tu mambo yawe mazuri pande zote


Usiwe na hofu sana,mungu wetu ni wa upendo sana uwe tu na imani na kila kitu kitakuwa sawa kwa mapenzi yake. Japo wapo waliokaa hadi miaka saba ndio wakapata mtoto.
 
yeah Rose ilivyokua miezi mitano nlitaka kwenda hosp wadau wakanambia kuwa ni mapema sana sasa ni mwaka umetimia majuzi sizani kama bado ni mapema. Niombee tu mambo yawe mazuri pande zote

Mkuu pole sana. check time table yako imekaaje. Kama una vipindi vingi mfululizo jaribu kuvipunguza afu usikizie matokeo ikishindikana waone wataalamu.
 
Last edited by a moderator:
Subira ni bora xana, fuatilia menses period kama zipo regular na fanya timing ya kukutana ktk ndoa cku zile zinazosadikika ni ovulation period!!!!
 
mkuu pole sana. check time table yako imekaaje. kama una vipindi vingi mfululizo jaribu kuvipunguza afu usikizie matokeo.
ikishindikana waone wataalamu.

Yeah mkuu timetable mwanzoni ilikua ni rafu sana manake kuna mdau alinishauri niwe na cheza goli moja kila baada ya masaa 12 mwezi ukapita no effect. Nikashauriwa goli moja kila baada ya masaa 24 mwezi ukapita.

Mzunguko wake ni siku 28 fixed na haubadiliki sana nikachoka na kuanza kurelax na kusahau kama natafuta mtoto nacheza game kawaida tu yani panic imeisha mi na wife tumerelax sana tu ishu ni tunapoona mwaka umeisha ila tuna amani ya kutosha tu
 
Kwanza kapimeni wewe na "my wife wangu" wako. Majibu lete hapa na usiwe na wasi ikiwa ni yeye ama wewe, kuna tiba mbadala zimesaidia wengi sana, kwa idhini ya Mwenyeezi Mungu.

Na mkionekana wote mpo OK pia kuna njia mbadala za ku boost, ukirudi baada ya kupima tutajitahidi kukushauri utuletee wajukuu wema. Usiwe na wasi wasi kijana.
 
Hakika umeongea vyema sana na kuniongezea amani. Next week naenda Kairuki pale naskia wana wataalam sana wa haya mambo lazima nikapime na mrejesho ntauweka hapa nipate ushauri.

Am sure one day I will be a father. Nampenda sana mke wangu na sijawahi chepuka ndani ya ndoa tangu nimemuoa japo ni mwaka mmoja it's a gud start. Thanx kwa kunitia moyo faiza
 
Usiwe na wasiwasi, michepuko ni dhambi na unawea kujiletea magonjwa ya zinaa. Utapata tu watoto kwa uwezo wa Mwenyeezi Mungu usiwe na shaka hata kidogo.
 
Sijakuelewa mkuu wamaanisha nini? Ni mwanamke ninaempenda sana sana siwezi kumuacha wala kumsumbua hata kama atakua yeye ndo mwenye tatizo

Afadhali.

Maana ulivyosema una hamu sana na mtoto, nikajua ukiambiwa mkeo ndio ana matatizo kwisha habari yake.

Usifanye hivyo arife.
 
Nikiwa na umri wa mika 19 nilitoa mimba hospitali hii ni kwasababu nilikuwa shule, sikuona madhara yake kwa wakati huo.MUNGU si mchoyo baada ya umri wa kuolewa kufika nilipata mume.

Kwasababu nilikua nableed vema sikua na shaka kwamba naweza kutopata mimba tena lakini hii inanitokea sasa, japo naingia kwenye siku zangu lakini mtoto sijapata,matatizo ya kutoshika mimba yanasababishwa na nin?Nataka kuokoa ndoa yangu.
 
Back
Top Bottom