Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Una jini mahaba wewe /
Kanga mahindi makavu yakiiva kalie chooni, siku 7,tatizo kwisha!
Kanga mahindi makavu yakiiva kalie chooni, siku 7,tatizo kwisha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu akufanyie wepesi na akusamehe kwa uliofanya.Nikiwa na umri wa mika 19 nilitoa mimba hospital hii n kwa sabab nilikua shule..sikuona madhara yake kwa wakati huo..MUNG si mchoyo baada ya umri wa kuolewa kufika nilipata mume..na kwa sababu nilikua nableed vema sikua na shaka kwamba naweza kutopata mimba tena...lakin hii inanitokea sasa..japo naingia kwenye siku zang..lakin mtoto sijapata..matatizo ya kutoshika mimba yanasababishwa na nin?? Nataka kuokoa ndoa yang
La kukaanga mahindi naweza kuliamini. Lakini la kulia chooni hilo haliingii akilini. Tutoe mawaidha ambayo yana sayansi inayoeleweka.Una jini mahaba wewe /
Kanga mahindi makavu yakiiva kalie chooni, siku 7,tatizo kwisha!
Nikiwa na umri wa mika 19 nilitoa mimba hospital hii n kwa sabab nilikua shule..sikuona madhara yake kwa wakati huo..MUNG si mchoyo baada ya umri wa kuolewa kufika nilipata mume..na kwa sababu nilikua nableed vema sikua na shaka kwamba naweza kutopata mimba tena...lakin hii inanitokea sasa..japo naingia kwenye siku zang..lakin mtoto sijapata..matatizo ya kutoshika mimba yanasababishwa na nin?? Nataka kuokoa ndoa yang
"Tiba Za Aina Hii Nashindwaga Kuzielewa Zinafanyaj Fanyaje Kazi? Kiasi Kwamba Naonaga Ni Story Au Kuna Sayansi Gani Hapa?Una jini mahaba wewe /
Kanga mahindi makavu yakiiva kalie chooni, siku 7,tatizo kwisha!
***La kukaanga mahindi naweza kuliamini. Lakini la kulia chooni hilo haliingii akilini. Tutoe mawaidha ambayo yana sayansi inayoeleweka.
Teh teh teh....Una jini mahaba wewe /
Kanga mahindi makavu yakiiva kalie chooni, siku 7,tatizo kwisha!
***"Tiba Za Aina Hii Nashindwaga Kuzielewa Zinafanyaj Fanyaje Kazi???? Kiasi Kwamba Naonaga Ni Story Au Kuna Sayansi Gani Hapa??
Una jini mahaba wewe /
Kanga mahindi makavu yakiiva kalie chooni, siku 7,tatizo kwisha!
La kukaanga mahindi naweza kuliamini. Lakini la kulia chooni hilo haliingii akilini. Tutoe mawaidha ambayo yana sayansi inayoeleweka.
cc: jichawi na mshana jr njooni mtusaidie kwa hili."Tiba Za Aina Hii Nashindwaga Kuzielewa Zinafanyaj Fanyaje Kazi???? Kiasi Kwamba Naonaga Ni Story Au Kuna Sayansi Gani Hapa??
Nenda wewe na mumeo mkakague afya zenuNikiwa na umri wa mika 19 nilitoa mimba hospital hii n kwa sabab nilikua shule..sikuona madhara yake kwa wakati huo..MUNG si mchoyo baada ya umri wa kuolewa kufika nilipata mume..na kwa sababu nilikua nableed vema sikua na shaka kwamba naweza kutopata mimba tena...lakin hii inanitokea sasa..japo naingia kwenye siku zang..lakin mtoto sijapata..matatizo ya kutoshika mimba yanasababishwa na nin?? Nataka kuokoa ndoa yang
Umeandika nini hapa? Kama hujui ni bora ukae kimya.Nenda hospitali uchungunzwe. Kuna kipmo cha x ray kinaitwa HSG KINATUMIKA KUZIBUA MIRIJA YAKO HUENDA IMEZiba.
Na wale wanaowapa wao ni kina nani? Na kila siku mmekalia kutusimanga ooo single maza oooh balahblahMimi sio rafiki wa binti mtoa mimba kwa kisingizio cha kusoma...
Kutoa mimba niukatili wa hali ya juu...
Dah hizi timba mmh japo ni mzuri haina gharama, chuoniUna jini mahaba wewe /
Kanga mahindi makavu yakiiva kalie chooni, siku 7,tatizo kwisha!