Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Nikiwa na umri wa mika 19 nilitoa mimba hospital hii n kwa sabab nilikua shule..sikuona madhara yake kwa wakati huo..MUNG si mchoyo baada ya umri wa kuolewa kufika nilipata mume..na kwa sababu nilikua nableed vema sikua na shaka kwamba naweza kutopata mimba tena...lakin hii inanitokea sasa..japo naingia kwenye siku zang..lakin mtoto sijapata..matatizo ya kutoshika mimba yanasababishwa na nin?? Nataka kuokoa ndoa yang
Mungu akufanyie wepesi na akusamehe kwa uliofanya.
 
Nenda hospitali uchungunzwe. Kuna kipmo cha x ray kinaitwa HSG KINATUMIKA KUZIBUA MIRIJA YAKO HUENDA IMEZiba.
 
Nikiwa na umri wa mika 19 nilitoa mimba hospital hii n kwa sabab nilikua shule..sikuona madhara yake kwa wakati huo..MUNG si mchoyo baada ya umri wa kuolewa kufika nilipata mume..na kwa sababu nilikua nableed vema sikua na shaka kwamba naweza kutopata mimba tena...lakin hii inanitokea sasa..japo naingia kwenye siku zang..lakin mtoto sijapata..matatizo ya kutoshika mimba yanasababishwa na nin?? Nataka kuokoa ndoa yang

Pole sana kwa yanayokukuta. Unapaswa ku-relax na kumshukuru Mungu kwa yote maana yeye ndiye apangaye
anao uwezo wa kukupa mtoto na akamchukua kwa wakati wowote atakapo yeye, hata ndoa hiyo anaouwezo wa kuilinda kama ukimkabidhi maisha yako na kumtumainia yeye. siku zote maisha duniani ni mazuri kama unaamini unachokifanya kiko sahihi lkn ukimtafuta mtoto kwa udi na uvumba kwa malengo ya kuilinda ndoa yako utabaki kulia na kuumia kila kukicha.
 
Una jini mahaba wewe /
Kanga mahindi makavu yakiiva kalie chooni, siku 7,tatizo kwisha!
"Tiba Za Aina Hii Nashindwaga Kuzielewa Zinafanyaj Fanyaje Kazi? Kiasi Kwamba Naonaga Ni Story Au Kuna Sayansi Gani Hapa?
 
Tatizo la uzazi limekuwa kilio kikubwa fika kwa docta mwaka suluhisho utalipata naamini utanipenda
 
Una jini mahaba wewe /
Kanga mahindi makavu yakiiva kalie chooni, siku 7,tatizo kwisha!
La kukaanga mahindi naweza kuliamini. Lakini la kulia chooni hilo haliingii akilini. Tutoe mawaidha ambayo yana sayansi inayoeleweka.
"Tiba Za Aina Hii Nashindwaga Kuzielewa Zinafanyaj Fanyaje Kazi???? Kiasi Kwamba Naonaga Ni Story Au Kuna Sayansi Gani Hapa??
cc: jichawi na mshana jr njooni mtusaidie kwa hili.
 
Nikiwa na umri wa mika 19 nilitoa mimba hospital hii n kwa sabab nilikua shule..sikuona madhara yake kwa wakati huo..MUNG si mchoyo baada ya umri wa kuolewa kufika nilipata mume..na kwa sababu nilikua nableed vema sikua na shaka kwamba naweza kutopata mimba tena...lakin hii inanitokea sasa..japo naingia kwenye siku zang..lakin mtoto sijapata..matatizo ya kutoshika mimba yanasababishwa na nin?? Nataka kuokoa ndoa yang
Nenda wewe na mumeo mkakague afya zenu

Nakusisitiza wote wawili maana wanaume wanakasumba ya kusema wanawake ndo hawashiki mimba kumbe na wao pia wanakuwaga na shida ama ya ugumba au hawana uwezo wa kukupa mimba kwa maana vimbegu vidhaifu, so ondoa hayo majuto hapo juu uliyoandika unajuta nendeni nyote kwa

IMG-20151215-WA0013.jpg

Madaktari wapo wengi acha kukata tamaa asee mamangu pia alitaabika sana enzi za kunisakanya almanusura ndoa ivunjike.
 
Mimi sio rafiki wa binti mtoa mimba kwa kisingizio cha kusoma.

Kutoa mimba niukatili wa hali ya juu.
 
nenda hospitali uwaeleze ukweli yawezekana mwenye tatizo ni mumeo na wala siyo wewe
 
Pole sana mama!
Nitakushauri kwa namna 2, moja kimwili na ya pili kiroho.

1. Ungeweka data za mzunguko wapo hapa ili tukuambie siku sahihi za wewe kushika mimba.
-Siku ya wewe kushika mimba baada ya sex kuna vinywaji hupaswi kunywa kama Pepsi, Coca Cola, Energy drinks, Azam Cola n.k
-Wakati wa Sex kuna mikao ambayo mwenzi wako anapaswa kukuweka, usikae juu yake au mambo sijui ya kushika ukuta n.k

Pia, nenda hospitali wewe kama wewe kwanza kama mmeo hujamwambia kuwa ulitoaga mimba. Yawezekana kizazi ni kichafu. Baada ya nenda na mmeo hospitali mkapime, huenda shida ipo kwake.

2. Inawezekana kwenu kuna mtu alishawahi kumwaga damu, yaani kuua. Damu isiyo na hatia ikimwagwa huwa inalia mbele za Mungu kupata haki yake, DAMU INADAI DAMU.

Kuna binti alinishuhudia kwamba kwao kulikuwa kuna tatizo la watu kufa kila mwaka, pia kulikuwa na tatizo la watu kutoa mimba. Wazee wao wakakaa kikao na kwenda mtoni kwenye miungu kutambika, wakaenda na wanyama ili kuwachinja kutoa damu. Wale wazee walitambika kwamba 'Kutokana na watu kila mwaka na utoaji mimba, kunafanya ukoo huu usikue, YEYOTE ATAKAYETOA MIMBA, KUFA NA AFE'.

Huyo binti alikujaga Dar na akapata mimba, bwana akaikataa. Mimba ya miezi 3, yule binti akaenda Dispensary kutoa mimba. Kilichotokea mle ndani ni ngumu kueleza hapa, hata mimi nikikumbuka huwa machozi yananilenga ila MUNGU ALIKUWA ANA MAKUSUDI NA YULE BINTI NDO MAANA HAKUFA. Mpaka sasa ameokoka, yupo ndani ya Yesu.
Maagano/Laana/Mikataba ina NGUVU SANA ktk ulimwengu wa roho. Yawezekana na ww upo sehemu hii.

Kubwa zaidi ni kumrudia Mungu, yupo tayari kukurehemu. Yeye mwenyewe alisema HAKUNA TASA KWA WATOTO WAKE.

Barikiwa dada yangu.
 
Back
Top Bottom