Helicobacter pylori
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 424
- 283
Sijawahi patwa na tatizo hilo ila nachangia tu naimani hutajali.
"Suala la kuenda hospital na kurudi na majibu kua hakuna mwenye tatizo linawezekana inategemeana na hospitali waliyokwenda na vipimo vilivyofanyika.
Kwenda kwenye hoja; Kama vilifanyika vipimo vyote muhimu kwa ngazi ya mfumo wa uzazi na uzazi kwa jinsia zote mbili na wakagundulika hawana matatizo "beyond doubt" kuna haya yanaweza tokea.
Mosi. Huenda wanakutana muda sio sahihi kitu ambacho kwa miaka mitatu sio rahisi kama ni wakutanaji wazuri.
Pili. Yawezekana Mimba hutungwa lakini haishiki na kukua inaharibika kabla ya dalili za mimba kuonekana.
Tatu. Huenda mimba inatunga, inashika ila haikui na huaribika kabla ya dalili za mimba kujitokeza.
Matatizo kama hayo kugundulika sio rahisi yanaitaji uchunguzi mujarabu na ufuatiliaji wa kitabibu wa karibu sana.
La sivyo kama hayo sio basi kuna shida katika mfumo wa uzazi na uzazi wao, yawapasa kurudi na kufanya chunguzi katika hospitali maalumu za mfumo wa uzazi na uzazi".