Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Sijawahi patwa na tatizo hilo ila nachangia tu naimani hutajali.

"Suala la kuenda hospital na kurudi na majibu kua hakuna mwenye tatizo linawezekana inategemeana na hospitali waliyokwenda na vipimo vilivyofanyika.

Kwenda kwenye hoja; Kama vilifanyika vipimo vyote muhimu kwa ngazi ya mfumo wa uzazi na uzazi kwa jinsia zote mbili na wakagundulika hawana matatizo "beyond doubt" kuna haya yanaweza tokea.

Mosi. Huenda wanakutana muda sio sahihi kitu ambacho kwa miaka mitatu sio rahisi kama ni wakutanaji wazuri.

Pili. Yawezekana Mimba hutungwa lakini haishiki na kukua inaharibika kabla ya dalili za mimba kuonekana.

Tatu. Huenda mimba inatunga, inashika ila haikui na huaribika kabla ya dalili za mimba kujitokeza.

Matatizo kama hayo kugundulika sio rahisi yanaitaji uchunguzi mujarabu na ufuatiliaji wa kitabibu wa karibu sana.

La sivyo kama hayo sio basi kuna shida katika mfumo wa uzazi na uzazi wao, yawapasa kurudi na kufanya chunguzi katika hospitali maalumu za mfumo wa uzazi na uzazi".
 
Hata mim nililiwaza hili ila nitamshauri asante kwa ushauri
 
La kuongezea pia yawezekana Rh blood type zao pia yaweza kuwa ni tatizo especially pale mwanamke anapokua na -ve
 
Hayo mambo ukiyapeleka kwenye mitishamba utakuja kuliwa sana pesa maana wengi huwa wanabahatisha dawa ikikubali anajisifia.

Nikupe mfano mmoja kuna shemeji yangu kaka wa mke wangu yeye pia na mke wake walipata huo mtihani kila wakienda hospitali wanaambiwa hawana tatizo.

Mwanamke akaona bora aende kwenye mitishamba huko nako aliishia kuliwa pesa na kupewa ramli chonganishi kuwa mama wa mume wake ndio anayemroga .

Mwisho wa siku ukatokea mgogoro wakaachana, Kwa sababu ni ndoa za kiislamu kila mtu akaenda kuanzisha maisha na mwenza mwingine na hivi ninavyoandika hapa shemeji yangu ana mtoto wa kike mwenye miezi tisa na yule mtaraka wake pia ana mimba wa kujifungua muda wowote .

So sijui hapo solution ilikuwa ni nini lakini baada ya ndoa zao za pili hakuna aliyeenda hospital wala kwa mganga wa kienyeji ila mambo yamejipa yenyewe.
Wanadai kuwa homon zao zinakuwa haziendani hawawezi kupata mtoto kamwe hiyo ipo hata mimi nina mifano hai
 
La kuongezea pia yawezekana Rh blood type zao pia yaweza kuwa ni tatizo especially pale mwanamke anapokua na -ve
Hiyo inawezekana kabisa ila sharti wawe wameshapata mtoto sasa hapo napata wasiwasi kwakua hawajabahatika mtoto kupata.
 
Wanadai kuwa homon zao zinakuwa haziendani hawawezi kupata mtoto kamwe hiyo ipo hata mimi nina mifano hai
Ebu tupatie ufafanuzi kidogo hapo kwenye kutofautiana kwa homoni?

(Ama mwanamke awe na kiwango kidogo cha homoni husika za kuwezesha kukuza na kulinda mimba)
 
Wakati mwingine inawezekana:-

1. High sperm DNA damage

One prominent cause is high sperm DNA damage. Fortunately, there are available medical examinations that can detect this kind of disorder. The test results will return a percentage of damaged sperms: a result below 15% is considered normal, while results higher than 25% mean that there is a lower chance of successful conception even with infertility treatments.

2. Follicle or fallopian tube problems

On the other hand, there can be other reproductive system malfunctions that cause infertility, but cannot be detected by the above-mentioned set of standard tests. One such abnormality occurs when the fallopian tubes cannot receive the matured egg successfully, therefore the egg never meets the sperm. There is a chance that the woman produces deformed eggs, or that the follicles do not rupture properly to release the matured egg. It remains trapped inside the follicle (Luteinized Unruptured Follicle).

3. Immunological factors( hii ni muhimu aijue)

There are certain immunological factors to be taken into account, such as sometimes the body of the woman may misinterpret the sperms to be hostile organisms, and might kill them, or immobilize them.

4. Infections

Sometimes infections are responsible for infertility, that don’t show up in clinical examinations, but are nevertheless present in the patient’s system, which is why some doctors use antibiotics during therapy.

5. Sperm problems

The problem can be with the man’s sperms: occasionally it is too weak to penetrate the egg. This possibility can be easily excluded by performing a donor test. If the donor’s sperm is able to penetrate the woman’s egg, then the problem is definitely with the man’s sperm. Even the uterine lining can have hardly detectable abnormalities which do not allow the egg to implant. But with multiple vaginal ultrasound tests this problem can be detected. If the uterine lining is too thin, the root cause may be related to smoking, which can prevent blood flow to the uterus.
 
Kuna Dr. Kapona yuko Chanika Buyuni amesaidia akina mama wengi amabao hawashiki ujauzito. Unaweza kujaribu. Wengine walikuwa na kitu kinaitwa hormonal imbalances. Ila siyo lazima naye awe na tatizo hilo. Jitahidi kumtafuta naye isikie yake.
 
una jini mahaba wewe inabidi atolewe ndo utawezakushika mimba
 
Kuna Dr. Kapona yuko Chanika Buyuni amesaidia akina mama wengi amabao hawashiki ujauzito. Unaweza kujaribu. Wengine walikuwa na kitu kinaitwa hormonal imbalances. Ila siyo lazima naye awe na tatizo hilo. Jitahidi kumtafuta naye isikie yake.
Tunawezaje kupata mawasiliano yake mkuu
 
Jamaa aendelee kutupia magoli tu, saa nyingine mtt anakuja kwa mapenzi ya mungu
 
Habarini za mchana wana jf Nina jambo kidogo nimeona nililete humu naamini nitapata ufumbuzi kupitia michango ya watu mbali mbali Nina jirani yangu ameolewa huu ni mwaka wa tatu sasa hajawah kushika ujauzito wameshaenda hospital yeye na mumewe kufanya vipimo lakin wakaambiwa hakuna tatizo lolote jamani naombeni kama kuna mtu ambae ameshawahi kupata tatizo Kama hili anielekeze aliponea wapi ili nimpe msada huyu jirani yangu au yoyoye anaejua dawa za mitishamb anielekeze pia zinapopatikana au hao watu wanaotibu haya matatizo ili tumsaidie jirani yetu asanteni nawasilisha
Mwambie anitafute mimi nimpe dawa zangu ashike mimba haraka.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Asante mkuu mziz mkavu nitampa mawasiliano yako
 
Mwambie anitafute mimi nimpe dawa zangu ashike mimba haraka.

Ukiwa na Shida yoyote ile. Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Unapatikana wapi mkuu?
 
Amejaribu kusafishwa mirija lakini bado ndo namuombea ushauri humu ili ajue la kufanya.
 
Back
Top Bottom