Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Hongera thread yako, japokuwa inahitaji utafiti zaid wa kisayansi kuhusu dhana yako.
 
Jamani hivi tanzania hakuna vituo vya kulelea wazee, tupeleke mtu humu akapumzike?
 
Naona unafanyia makampuni ya bia kampeni humu. kwangu hakuna haja yakusubiri utafiti wowote hapa naona unahamasisha ulevi kwa dada zetu mnaotafuta watoto. Msidanganyike na uongo huu, Mungu atawasaidia kuwapa watoto wazuri kwa wakati wake.
zab 120:01 katika shida yangu nalimlilia Bwana naye akaniitiki
zab 121:02 msaada wangu huu katika Bwana aliyeziumba mbingu na nchi
 
Hizi dawa ni maarufu sana kwa kina mama wanaoshindwa kupata mimba, naomba mnaozijua mnifafanulie huwa zinafanyaje kazi yake mpaka mtu anashika mimba
 
Zinakuwa na lishe na virutubisho mhimu ambavyo ulikuwa unavikosa kwa muda mrefu, ila inategemea si kila anayezitumia anafanikiwa.
 
Hizo dawa nyingi sana zinausiana na mambo ya uchawi ndo maana watoto wengi wanaozaliwa kwa njia hiyo wanakuwa na matatizo mengi na mambo ya ajabu.na mimba nyingi zinazotungwa kwa njia hii zinasumbua sana. Hivyo ni vyema wakina mama kufaata ushauri wa kidaktari ambao umethibitika pia kumuomba mungu sana kwani yeye ndo muweza wa kila kitu.
 
hizo dawa nyingi sana zinausiana na mambo ya uchawi ndo maana watoto wengi wanaozaliwa kwa njia hiyo wanakuwa na matatizo mengi na mambo ya ajabu.na mimba nyingi zinazotungwa kwa njia hii zinasumbua sana.hivyo ni vyema wakina mama kufaata ushauri wa kidaktari ambao umethibitika pia kumuomba mungu sana kwani yeye ndo muweza wa kila kitu...

Mkuu, unachanganya habari, mitishamba si uchawi, na hata hizo za hospitali kwa sehemu kubwa zimetokana na mitishamba kama ulikuwa hujuwi.
 
hizo dawa nyingi sana zinausiana na mambo ya uchawi ndo maana watoto wengi wanaozaliwa kwa njia hiyo wanakuwa na matatizo mengi na mambo ya ajabu.na mimba nyingi zinazotungwa kwa njia hii zinasumbua sana.hivyo ni vyema wakina mama kufaata ushauri wa kidaktari ambao umethibitika pia kumuomba mungu sana kwani yeye ndo muweza wa kila kitu...
Ushauri mzuri
 
IYOKOPOKOMAYOKO. sasa kama hizo dawa zinapatikana hospitalin kwanin wasiende huko.ikumbukwe kwamba dawa za hospitalini zinapimwa kabisa na kuwa na kiwango sahihi cha kutumia tofauti na mitishamba ambayo mara nyingi hazina kipimo husika.pia watu wanaotoa hizo dawa wanaamini nin?
 
Back
Top Bottom