Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana... hasa ukizingatia status yako hapa jukwaani. Haya ni maajab lakini nahisi kama kuna ukweli vile.sasa ndio umejua eh
Mbona naona marue rue kwenye POST HII. Mods Mko wapi?
Mimi nahusi ni imani tuu..unakuta mtu anapewa dawa atumie akiamini atapona na kupata mtoto..
hizo dawa nyingi sana zinausiana na mambo ya uchawi ndo maana watoto wengi wanaozaliwa kwa njia hiyo wanakuwa na matatizo mengi na mambo ya ajabu.na mimba nyingi zinazotungwa kwa njia hii zinasumbua sana.hivyo ni vyema wakina mama kufaata ushauri wa kidaktari ambao umethibitika pia kumuomba mungu sana kwani yeye ndo muweza wa kila kitu...
Ushauri mzurihizo dawa nyingi sana zinausiana na mambo ya uchawi ndo maana watoto wengi wanaozaliwa kwa njia hiyo wanakuwa na matatizo mengi na mambo ya ajabu.na mimba nyingi zinazotungwa kwa njia hii zinasumbua sana.hivyo ni vyema wakina mama kufaata ushauri wa kidaktari ambao umethibitika pia kumuomba mungu sana kwani yeye ndo muweza wa kila kitu...