Mdau uko sahihi mno.Magoli yote anayofungwa Yanga yanafana. Inatuumiza sanayanayotokana
Yanafana au ni ya Aina Ile Ile.Bamako tayari tulikuwa na point 3yanafana
ni kweli,timu za ndani na za nje zinafunga hivyoWakuu, baada ya mechi ya jana ya Kombe la Shirikisho sasa ni dhahiri kuwa timu ya Yanga wana tatizo la mipira ya kutenga. Kumekuwa na matukio mfululizo ya kufungwa mabao yanayotokana na mipira hiyo. Hata mechi ya jana dhidi ya Prisons mapungufu hayo yameonekana. Kocha Prof Nabi ana kazi kubwa ya kufanya kwenye eneo hilo.
Hivi kwa mfano mtu mgeni ambae unaJua kabisa pale Mlimani ambako Sisi tuliishi kama home kwetu tukisoma vitabu vigumu wakati yeye akisoma Madrasa mtu huyo wa Madrasa kwa mfano akija kwenye kikao chenu Cha ukoo Kimara akapayuka akasema "nyie wote mliokusanyika hapa ukoo mzima hamna akili isipokuwa mke wangu TU Yuko home na shoga yake wa Buza kwa Mpalanger " kwa kauli hiyo tayari nyie wote ukoo mzima mnakuwa Vilaza? Hivi kauli imekaaje kisayansi kwamba inatoa akili za watu?Hivi Manara Carrier Yake Ya Usemaji Wa Soka Vikiisha, ni Kitu gani Kitakachofanya Akumbukwe..?
Mimi nadhani ni Ile Kauli Yake Kuwa.. nanukuu " Yanga Wote ni Hamnazo isipokuwa Baba ake Na Mzee JK" Mwisho Wa Kunukuu..!