Tatizo langu limerudi

Usinywe kahawa usiku na uwe unafanya mazoezi jioni , pia kama unavuta sigara acha kabisa.
 
jaribu kuwa Gym class especially in late hrs kama kuanzia saa 1:30 jioni then jitazame sana NA vyakula unavokula jioni viwe vyepesi sana, zuia caffeine, asteroids na any kind of viagra. namaanisha epuka vitu vyote vinavyostimulate the unconscious brain nyakati za jioni ,
 
Pole labda kuna kitu unakiwaza au kimeaffect maisha yako kinakusumbua hauna raha nacho.
 

Pole sana kwa matatizo haya. I do not have any idea of what could be done to help.
 
Asante sana ndugu.
Ila sasa tatizo huku mlali sijui nitatoa wapi majani ya passion...
Nilijaribu chamomile tea ikasaidia kwa muda alafu baadae ikawa haina effect.
Kwa upande wa pombe sidhani, you can't count me as a consumer.
 


Roulette my alter.... sababu tatizo langu ni tatizo lako sitabanduka hapa... ila time being naomba ngoja nikatafakari hii post nione kama nimeelewa ikiwa mwanzo wa kutatua tatizo. Dah!
 
Huu ndio ukweli Nitty.

Ngoja nijaributena kama nilivokua nafanya mwanzo: saa 4 kamili naingia kitandani na kuzima taa. I'll try this again and let you know. Mwanzo nilikua nafanya hivo ila pole pole nikawa nasubiri saa ndio napata usingizi, then nasubiri saa mbili, sasa ni kama nasubiri jua liwake. kama leo ndio sijalala kabisaaaaa. yaani toka nilivoamka jana hadi saa hizi sijalala hata dakika!
Ikifika tu mida ya jioni I say to myself that I should find a loooong activity for the night as lazima sita lala. I end up starting a book au kupanga movies etc. kw ahiyo najikeep busy hadi asubuhi.
But leo usiku najaribu tena kuingia kitandani mapema na kuzima taa.
 
Roulette my alter.... sababu tatizo langu ni tatizo lako sitabanduka hapa... ila time being naomba ngoja nikatafakari hii post nione kama nimeelewa ikiwa mwanzo wa kutatua tatizo. Dah!
Na mimi nilisoma hiyo post nikasimama kwanza na kwenda kuchekea nje kwa dakika mbili then nikarudi kumjibu. :lol:
Thank's love kwa kukaa na mimi... :hug:
 
Usinywe kahawa usiku na uwe unafanya mazoezi jioni , pia kama unavuta sigara acha kabisa.

Thanks wakuu. Sivuti sigara wala sinywi kahawa...
kusema ukweli kwa sasa I don't attend any gym club na wala sifanyi mazoezi. Lakini mara 2 au mara 3 kwa wiki natembea kwa mguu long distances... nitajaribu kuanza mazoezi hata hapa nyumbani (Kumbukeni sitamani kabisa kuona watu)
 
Pole sana kwa matatizo haya. I do not have any idea of what could be done to help.
Well, you are already helping by stopping by kunipa pole. Naona wewe kama mimi umekosa mawazo.
 
Na mimi nilisoma hiyo post nikasimama kwanza na kwenda kuchekea nje kwa dakika mbili then nikarudi kumjibu. :lol:
Thank's love kwa kukaa na mimi... :hug:


Pamoja saana dear.....:rockon: Hata hivo iko tempting, nadhani nitaanza na hio solution kwanza....lol
 
RR pole sana na shida hiyo.
Kukosa usingizi umepata stress na huenda inachangiwa na routine yako ya kila siku; ikiwa ni pamoja na kazi nyingi sana. Hakuna dawa zaidi ya kuchukua likizo na kupata muda kidogo nje ya kazi za kawaida; hata kama unajiajiri, panga safari nje ya mji unaoishi, tembelea marafiki na kama upo bongo, nenda kijijini kwa bibi.
Tatizo hili linatumbua wengi na hivi ndivyo tunavyofanya; hakika kama ratiba yako inahusisha kufanya kazi masaa mengi na wakati mwingi hadi weekends, unahitaji mapumziko ya angalau wiki 1 kila baada ya wiki 6. Iwapo ratiba yako ni ya kawaida, basi kila miezi 3 hakikisha unapata wiki 1 ya likizo.
 
Pamoja saana dear.....:rockon: Hata hivo iko tempting, nadhani nitaanza na hio solution kwanza....lol
Basi anza, if it works nambie na mimi niandae supu ya pweza. :lol::lol:
 
Pamoja saana dear.....:rockon: Hata hivo iko tempting, nadhani nitaanza na hio solution kwanza....lol

AshaDii, huo ushauri wa King Kong ni sawa na kula Panadol wakati una malaria, utapata nafuu ya wakati huo na kesho yake tatizo liko pale pale!
 
Asante Kakalende. hii pia inaweza kua chanzo cha shida yangu maana nilitakiwa kwenda leave in october (kumbuka shida ilianza september) but sikuweza. 3 month later ikawa december but nilichukua leave ya kwenda msibani. huko sikupumzika vizuri, si unajua tena mambo ya matanga? na sasa nachukua leave in mach. itakua ni almost 7 month bila likizo. kazi yangu kwa sasa ni ya kawaida.
but I wonder: how come watu wengi ninao wajua wanapiga hata miaka 2, miaka 3 bila likizo? akipata tu sunday yake mambo safi... why me?
 
Pole RR, hiyo sentenso ya mwisho hapo ndo yanitia wasiwasi. Nikiwa na mawazo sana napata shida kulala. Hutaki kuona watu ni dalili ya stress. Taking a walk is also avoiding people manake unajua you don't have to mingle. Push yourself to the gym, utaona watu na kutania ama kucheka nao. Go out for movie and stop MasturDating. Utaanza kunifanya nikuwazie kama a crazy scientist living with monkeys and sharing a bed with turtles! Staki banaa!
 
MasturDating... that's the word! yaani ndio mimi kabisaaaa. Spending all my time with me and enjoying it sana tu.
Well, I am not like the crazy scientist na katika hali ya kawaida I am a very social person. Tatizo linakuja sababu ya kukosa usingizi. I become moody and kitu hata cha kawaida kinanikera kupita maelezo! So because I am so susceptible and get easily offended, it is better nijichimbie tu.
 
The little i know usingizi ni psychosomatic RR; so get your brain to maximum workin capacity durin day times n upate physical ex kila jioni....then eat well na fluids za kutosha. with this mental n physical fatique......wakati wa digestion damu itaenda zaid kwa digestive system n result into a guud slip.

Pole anyways.....inatesa sana hali hiyo n inaweza kuleta wasiwasi usiokuwa na sababu na kukufanya uchukie hata kuishi. POLE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…