Tatizo langu limerudi

Tatizo langu limerudi

Pole RR,
Kama alivyosema Mzizi, kama una mume, basi lala ukiwa umekumbatiwa utapata usingizi.
Chumba chake nacho kiweke katika hali ya kuita usingizi najua unafahamu hili. Pia usisahau kuwa na muziki kama classic au jazz ukubembeleze ulale.
 
RR,

Umesema unaongea na PC, vitabu na movies??

Yaani kama ni kweli basi sijui kama naweza kukuelewa!!

Ushauri wa King and Rev Masa ni mzuri sana walau kwa kuanzia......Hakuna mtu ambaye hapati usingizi mtamu baada ya jab 2-3 za uhakika...Labda kama umemwingiza mwenzio mkenge kwa kumuuzia mbuzi kwenye gunia (faking the outcome)!!!

Babu DC!!
 
dah
Ningekuwa na mke kama wewe tungekesha kwa uumbaji(joke)
Pole sana kwa tatizo hili.
nitarudi kwa ushauri.
pamoja sana
 
Yakishindikana yote uliyoshauriwa uwatafute watumishi wa Mungu (Wachungaji wanaoamini katika maombi) wakuombee. Hakuna lisilowezekana kwa Mungu, inawezekana ni mapepo pia.
 
Pamoja saana dear.....:rockon: Hata hivo iko tempting, nadhani nitaanza na hio solution kwanza....lol
Hiyo Avatar utatumia kwa siku ngapi? nilimpenda sana huyu dada, lakini tatizo likafall in love na muhuni mbwia maunga na akamfundisha na mkewe! so sad.
 
Hili nalo neno....
Sijui kama ni hilo lakini mana I am not in that age category (I am above or under... lol)

Poole saana Mdada!! Nilipitia kipindi kama chako muda fulani. Nilimwomba Mungu akaniwezesha wangu yakapita. Sasa wewe LOVE your husband as NEVER before ili akupe support. Atakuwa ni msaada wako mkubwa. Pia Ignore vipi vinavokupanikisha. Kaa mbali na watu unaohisi wanaweza kuku-hurt. Ila naamini Husband wako anao MSAADA mkubwa kwenye uponyaji wako.

Tupo pamoja RussianRoulette

Mudushi M N
 
Pole sana RR, kwa sasa ni kwamba akili yako umeishaijengea woga wa kukosa usingizi kwa hiyo hata unapoenda kulaa unaanza kuanza kuwaza kama leo utapata usingizi. Hii itakufanya ukose usingizi kila siku.
Jaribu kuifanya akili yako isiwe na mawazo hayo then chagua mda maalumu wa kupanda kitandani na kama una radio weka nyimbo za taratibu za kukuchombeza utajikuta mawazo yanaondoka na usingizi unakuja

Hapa juzi niliumwa... one of the problems ya ugonjwa wangu ulisababisha na lack of sleep for long hours.... in seven days (masaa 168) hua na lala very brief (minimum 4 hrs na max 6 hrs but mara nyingi 5hrs) hivo ni kama masaa 35 tu in a week. Hapo nilipo bold na ku color ni moja ya maelezo nilipewa na Doc, hivo nashauri alter aitumie ipasavo.
 
Pole RR, hiyo sentenso ya mwisho hapo ndo yanitia wasiwasi. Nikiwa na mawazo sana napata shida kulala. Hutaki kuona watu ni dalili ya stress. Taking a walk is also avoiding people manake unajua you don't have to mingle. Push yourself to the gym, utaona watu na kutania ama kucheka nao. Go out for movie and stop MasturDating. Utaanza kunifanya nikuwazie kama a crazy scientist living with monkeys and sharing a bed with turtles! Staki banaa!

MasturDating... that's the word! yaani ndio mimi kabisaaaa. Spending all my time with me and enjoying it sana tu.
Well, I am not like the crazy scientist na katika hali ya kawaida I am a very social person. Tatizo linakuja sababu ya kukosa usingizi. I become moody and kitu hata cha kawaida kinanikera kupita maelezo! So because I am so susceptible and get easily offended, it is better nijichimbie tu.

Nyie ladies.... sijaelewa kama nimeelewa kwa kweli will need you guidance hapa!
 
Hiyo Avatar utatumia kwa siku ngapi? nilimpenda sana huyu dada, lakini tatizo likafall in love na muhuni mbwia maunga na akamfundisha na mkewe! so sad.

Just for a few days... Then will be back to my normal self.... Tatizo our hearts are useless and they are not wise when choosing who to love....
 
RR Pole sana na tatizo hizo
Tatizo kama lako huwa linanikuta mara kwa mara na nimekuwa nikienda kwa Hospital napewa dawa na kuambiwa eti nina stress
Nijaribu kupunguza Lakini kila nikijaribu kuwaza ni stress zipi zinanisumbua sipati majibu,
Naweza kukaa miezi sita then tatizo linajirudia na weza kulala for 2 hours only nayo pia nakuwa nasikia kila kitu kinachoendelea duniani.
Siku moja nilikuwa naongea na kabinti kamoja maeneo ya Dom kakanambia dada tatizo lako hebu jaribu kabla ya kulala unakunywa Chai iliyo na iliki na Mdalasini mwingi
Hapo sijui ni imani yangu imeniponya.Nikaamua kufanya hivyo
30 min kabla ya kulala natengeneza chai yangu safi kabisa na naweka mdalasini mwingi na Iliki pia asali nalala kama nimetembelewa na malaika naomba mungu hali ya kutokulala isijirudie
Maana kuna kipindi nilikuwa najikuta chozi linanitoka :A S-coffee:
 
Poole saana Mdada!! Nilipitia kipindi kama chako muda fulani. Nilimwomba Mungu akaniwezesha wangu yakapita. Sasa wewe LOVE your husband as NEVER before ili akupe support. Atakuwa ni msaada wako mkubwa. Pia Ignore vipi vinavokupanikisha. Kaa mbali na watu unaohisi wanaweza kuku-hurt. Ila naamini Husband wako anao MSAADA mkubwa kwenye uponyaji wako.

Tupo pamoja RussianRoulette

Mudushi M N

Nakubaliana na wewe kaka,

Dawa ya kwanza ya RR iko kwa mume wake.....If he can take up aggressively...I am sure he will rescue her in few days.

If it were me, this could be one of my remedies!!

1. My wife would stop looking at all type of screens at an agreed time
2. I would make sure we either sleep or spend sleepless nights together for something like 2-4days (nikishindwa hapa natafuta msaada, hata ikibidi kukimbia watu wa Marekani....lol!!!)
3. We would drink our favourites in one glass the entire nights (kama hakuna usingizi basi tunakuwa wote tunapata kinywaji)!!
4. Mambo ya MMU kwa wingi ila hakuna kulazimisha....just to let nature work everything out!! Ni muhimu kuhakikisha ama hakuna usumbufu wa mtoto au nmdugu yeyote nyumbani...Kama mkwanja unaruhusu na labda ni week end au likizo...lazima tuwe kwenye uwanja wa ugenini!!
5. Kila baada ya muda tunafanya postmorterm ya masaa kama 6 au 12 yaliyopita...!!
6. Hadithi za kazi ni marufuku katika kipindi chote za dozi yangu....Ila mkanda wetu wa toka day zero ndo utakuwa dira ya kila kitu..

Hivi baada ya jaribio kama hilo RR wangu ataendelea kukosa usingizi kweli???

Babu DC!!
 
Hahahahaha, Babu you killed it!
Kwa mtindo huu nitakua napata insomnia kila baada ya mwezi. lol
Nakubaliana na wewe kaka,

Dawa ya kwanza ya RR iko kwa mume wake.....If he can take up aggressively...I am sure he will rescue her in few days.

If it were me, this could be one of my remedies!!

1. My wife would stop looking at all type of screens at an agreed time
2. I would make sure we either sleep or spend sleepless nights together for something like 2-4days (nikishindwa hapa natafuta msaada, hata ikibidi kukimbia watu wa Marekani....lol!!!)
3. We would drink our favourites in one glass the entire nights (kama hakuna usingizi basi tunakuwa wote tunapata kinywaji)!!
4. Mambo ya MMU kwa wingi ila hakuna kulazimisha....just to let nature work everything out!! Ni muhimu kuhakikisha ama hakuna usumbufu wa mtoto au nmdugu yeyote nyumbani...Kama mkwanja unaruhusu na labda ni week end au likizo...lazima tuwe kwenye uwanja wa ugenini!!
5. Kila baada ya muda tunafanya postmorterm ya masaa kama 6 au 12 yaliyopita...!!
6. Hadithi za kazi ni marufuku katika kipindi chote za dozi yangu....Ila mkanda wetu wa toka day zero ndo utakuwa dira ya kila kitu..

Hivi baada ya jaribio kama hilo RR wangu ataendelea kukosa usingizi kweli???

Babu DC!!
 
Pole RR,
Kama alivyosema Mzizi, kama una mume, basi lala ukiwa umekumbatiwa utapata usingizi.
Chumba chake nacho kiweke katika hali ya kuita usingizi najua unafahamu hili. Pia usisahau kuwa na muziki kama classic au jazz ukubembeleze ulale.
Honey, nina mume but I AM NOT with him kwa sasa, hivo any 'physical support' itakua ngumu kidog... 🙂

RR,
Umesema unaongea na PC, vitabu na movies??
Yaani kama ni kweli basi sijui kama naweza kukuelewa!!
Ushauri wa King and Rev Masa ni mzuri sana walau kwa kuanzia......Hakuna mtu ambaye hapati usingizi mtamu baada ya jab 2-3 za uhakika...Labda kama umemwingiza mwenzio mkenge kwa kumuuzia mbuzi kwenye gunia (faking the outcome)!!!
Babu DC!!
Again, any solution that involves a physical contact with my hubby is not applicable as I am away from home kwa sasa...

dah
Ningekuwa na mke kama wewe tungekesha kwa uumbaji(joke)
Pole sana kwa tatizo hili.
nitarudi kwa ushauri.
pamoja sana
Waiting for a serious advice....:lol:

Lala na mwanamke
:lol::lol: now this is too much! hakuna an asexual solution jamani?
 
Dear nimekusoma, naona you have been there, hasa kwa huo mstari wa msiwho hapo. lol
Nitajaribu pia nii nione matokeo yake. Bahati mbaya sipendi chai, but I will try... asante love.
RR Pole sana na tatizo hizo
Tatizo kama lako huwa linanikuta mara kwa mara na nimekuwa nikienda kwa Hospital napewa dawa na kuambiwa eti nina stress
Nijaribu kupunguza Lakini kila nikijaribu kuwaza ni stress zipi zinanisumbua sipati majibu,
Naweza kukaa miezi sita then tatizo linajirudia na weza kulala for 2 hours only nayo pia nakuwa nasikia kila kitu kinachoendelea duniani.
Siku moja nilikuwa naongea na kabinti kamoja maeneo ya Dom kakanambia dada tatizo lako hebu jaribu kabla ya kulala unakunywa Chai iliyo na iliki na Mdalasini mwingi
Hapo sijui ni imani yangu imeniponya.Nikaamua kufanya hivyo
30 min kabla ya kulala natengeneza chai yangu safi kabisa na naweka mdalasini mwingi na Iliki pia asali nalala kama nimetembelewa na malaika naomba mungu hali ya kutokulala isijirudie
Maana kuna kipindi nilikuwa najikuta chozi linanitoka :A S-coffee:
 
Nakubaliana na wewe kaka,

Dawa ya kwanza ya RR iko kwa mume wake.....If he can take up aggressively...I am sure he will rescue her in few days.

If it were me, this could be one of my remedies!!

1. My wife would stop looking at all type of screens at an agreed time
2. I would make sure we either sleep or spend sleepless nights together for something like 2-4days (nikishindwa hapa natafuta msaada, hata ikibidi kukimbia watu wa Marekani....lol!!!)
3. We would drink our favourites in one glass the entire nights (kama hakuna usingizi basi tunakuwa wote tunapata kinywaji)!!
4. Mambo ya MMU kwa wingi ila hakuna kulazimisha....just to let nature work everything out!! Ni muhimu kuhakikisha ama hakuna usumbufu wa mtoto au nmdugu yeyote nyumbani...Kama mkwanja unaruhusu na labda ni week end au likizo...lazima tuwe kwenye uwanja wa ugenini!!
5. Kila baada ya muda tunafanya postmorterm ya masaa kama 6 au 12 yaliyopita...!!
6. Hadithi za kazi ni marufuku katika kipindi chote za dozi yangu....Ila mkanda wetu wa toka day zero ndo utakuwa dira ya kila kitu..

Hivi baada ya jaribio kama hilo RR wangu ataendelea kukosa usingizi kweli???

Babu DC!!

Babu DC huo mtihani mie ningeshindwa LoL
 
FL1,

Huwezi kushindwa dada....hiyo ni tiba na siyo mchakato wa kidemokrasia...

Hujawahi kusikia kuwa kwenye tiba hata bubu huwa wanaongea??

Kalhagabaho.......!!

Babu DC!!
 
Hahahahaha, Babu you killed it!
Kwa mtindo huu nitakua napata insomnia kila baada ya mwezi. lol

RR,

Nimenusa mahali ulipodokeza kuwa.....jamaa yuko mbali??????

Pole sana ndugu yangu....Kwa msingi huo regimen inakuwa complicated kidogo...

Ila ngoja babu akune kichwa kidogo...nitakuja wakati wowote na plan B!!

Huwezi kukosa tiba wakatu tumeona mengi makubwa zaidi ya haya!!

Babu DC!!
 
Hahahahaha, Babu you killed it!
Kwa mtindo huu nitakua napata insomnia kila baada ya mwezi. lol

Hi tena Biibie RussianRoulette. Hope umejifunza mengi tuu ya kukusaidia. Labda kwa mara nyingine jitahidi kuwa positive na maisha. Inaonekana km vile UNASMOKE. Kama ni kweli basi STOP. Pia km unaDIRINK, STOP.
Umenipata? Sorry km nazidi kuku...

Mudushi
 
Back
Top Bottom