Nina mke na watoto wawiliDepression au hofu inakusumbua, pendelea kucheza Game, km hauna mahusiano ya mapenz fanya hima umpate mwenzio, fanya mazoezi ya viungo kabla ya kulala like Pushup, skwash na mengine ili kuuchosha mwili ulale vzr pia unaweza tafuta movies nzuri uwe unaangalia zinafanya akili iwe busy na kuepuka kuwaza
Hapana sifany masturbation...Ila tatizo ni kama la mtoa mada kuwaza kitu muda mref hata kama nataka kuacha nisiwaze najikuta tuu nawaza..pia nna tatizo la kufikiria kitu kabla sijafanya ..mfano,nataka kwenda kuonana na mtu bas nitaanza kuyapanga mazungumzo yetu kichwani na kujijibu mwenyeweUnapiga masturbation,?
Uwe unapiga na zoezi, usisikilize radio au music Kwa earphones kwani ubongo unapata tabu sana..
So mawazo, kuuma kichwa ni tatizo.
Hofu ya maisha imekujaa mkuu, Je hili tatizo limetokea hivi karibuni au ulikuwa nalo tangu unasoma chunguza ni nini kilichosababisha hiyo hali ni hali duni ya maisha au kazi uliyokuwa nao au familia lazima kutakuwa na chanzoNina mke na watoto wawili
Shida sio kua nina mawazo mengi tatizo langu nawaza kitu kupita kiasi nashindwa kuacha jambo lipite tu bila ya kubebesha mzigo akili yangu
I cant let things go easy
Nikiwa na kajambo kadogo tu katanikosesha hata usingizi
Hata hivyo shukran kwa tips ulizonipa
Exactly that was my pointHapana sifany masturbation...Ila tatizo ni kama la mtoa mada kuwaza kitu muda mref hata kama nataka kuacha nisiwaze najikuta tuu nawaza..pia nna tatizo la kufikiria kitu kabla sijafanya ..mfano,nataka kwenda kuonana na mtu bas nitaanza kuyapanga mazungumzo yetu kichwani na kujijibu mwenyewe
Ndo jambo hilo na Mimi nililokua nzungumza inakua si stress ila inakua ni kama unapata uzito Fulani wa kuacha negative thoughts zisiflow kwa kichwaExactly that was my point
Sometimes mtoto akiumwa tu nawaza mambo mengi mpka nafkiria je akifa itakuaje?
Nitaweza kustahamili?
Nitaishi vipi?
Sina stress za maisha wala za kifamily ni hali tu labda niseme maradhi
Sijui tu ni namna gani mtu naweza kumuelezea akanifaham nini nakusudia
Duuuuu kwamba huo mtu unakua una mhofia Sanaa au? Mpaka unapanga kabisa cha kwenda kuongea nae, maana hapo unakua umempa u spesho uliopitilizaHapana sifany masturbation...Ila tatizo ni kama la mtoa mada kuwaza kitu muda mref hata kama nataka kuacha nisiwaze najikuta tuu nawaza..pia nna tatizo la kufikiria kitu kabla sijafanya ..mfano,nataka kwenda kuonana na mtu bas nitaanza kuyapanga mazungumzo yetu kichwani na kujijibu mwenyewe
Sijui yan hata mtu akinikera napanga kabisa maneno ya kwenda kumtukana au jinsi ya kupambana nae kabla hatujakutana sasa sijui ni niniDuuuuu kwamba huo mtu unakua una mhofia Sanaa au? Mpaka unapanga kabisa cha kwenda kuongea nae, maana hapo unakua umempa u spesho uliopitiliza
SawaDawa hii hapa kwa faida ya wengi: Chukka mbegu za maboga saga kwenye Blender tumia kwenye maziwa au uji weka vijiko 4- 5 then kesho Njooo ulete mrejesho kwa faida ya wengine mm nimefanya bado wewe
Pole mkuu, ukweli ni kwamba mtu mwenye stress au msongo wa mawazo hajui kama ana tatizo hilo. Nikuulize tu maswali haya:Exactly that was my point
Sometimes mtoto akiumwa tu nawaza mambo mengi mpka nafkiria je akifa itakuaje?
Nitaweza kustahamili?
Nitaishi vipi?
Sina stress za maisha wala za kifamily ni hali tu labda niseme maradhi
Sijui tu ni namna gani mtu naweza kumuelezea akanifaham nini nakusudia
Asante sanaPole mkuu, ukweli ni kwamba mtu mwenye stress au msongo wa mawazo hajui kama ana tatizo hilo. Nikuulize tu maswali haya:
1. Je mapigo ya moyo huwa yanaenda mbio mara unapowaza jambo husika?
2. Unaenda haja ndogo mara kwa mara hasa kipindi unapopata hali hiyo ya hofu?
3. Performance yako kwa shemeji ikoje, unapata hamu ya tendo la ndoa?
4. Huwa unajihisi uko isolated, au kufikiria kuhusu kifo, yani huwa unakuwa na negative thoughts muda mwingi?
5. Vp kuhusu hamu ya kula? Unakula vzr ?
Yapo mmb mengi sana yanayoshabiiana ya msongo wa mawazo na usipochukua hatua huleta shida. Ningekushauri uonane na mwanasaikologia au mtu ambae unaamini ana busara mudiscuss tatizo lako na umuulezee kila kitu bila kificho, itakusaidia, unajua cc wanaume kutokana na nature yetu hubeba na kukaa na vitu vingi sana kichwani na kusababisha shida kama hizo....huwenda pia shida yako ya msingi sy hy ya kufocus na kitu kimoja, huenda kuna primary cause then hy ikaja kama secondary.
Bila ya kwenda mbali mkuu paragraph yako ya mwisho ina prove kuwa u have a psychological issues, so kwa kuanzia ningekushauri ufanye yafuatayo:Asante sana
1 hapana mapigo ya moyo hua katika hali ya kawaida
2 Hilo tatizo ninalo siku nyingi na sio tu ninaposikia hofu.
Maranyingi nikienda haja ndogo najiskia kama mkojo haujesha na nikirudi smotimes hua sipati kitu
3 perfomance mkuu sitakua na jibu la uhakika sababu kwa muda mrefu zaidi ya miaka mitatu tumejizoesha kukutana na mke wagu sio zaidi ya goli moja kwasiku labda siku ngoma imebamba sana, hua situmii nguvu sana, kiasi tu ya kuoa sote tumeridhika
Kuhusu hamu mkuu netwrk inashika vizuri tu na najiskia ku do na wife kila usiku ninapomuona
4 Kifo kaka ndio kila wakati kipo nakifkiria hili umelipoint hasa
Nikiwa barbarani nahisi mda wowote nitakula mzinga nife
Nikilala usiku nahisi asubuhi sifiki
Mda mwengine hukaa nikawakumbuka waliokufa na kuwaza wana hali gani uko walipo
5 Hamu ya kula sina. Sili mpaka nijiskie njaa
Nitafanyia kazi mashauri yako
Shukran
Anapatikana hospitali mkuu...na wengi wao ni members wa JF.Huyo pcsycotherapist ni nani? Ama ni member wa jf?
Hili ulilolieleza mkuu naona na mimi linanikabili sana kiasi ambacho hata mimi nakosa amani. Wahanga tupo kumbe Mungu tusaidie waja wako.Hapana sifany masturbation...Ila tatizo ni kama la mtoa mada kuwaza kitu muda mref hata kama nataka kuacha nisiwaze najikuta tuu nawaza..pia nna tatizo la kufikiria kitu kabla sijafanya ..mfano,nataka kwenda kuonana na mtu bas nitaanza kuyapanga mazungumzo yetu kichwani na kujijibu mwenyewe
Wewe linakusumbua namna gan tusaidianeHili ulilolieleza mkuu naona na mimi linanikabili sana kiasi ambacho hata mimi nakosa amani. Wahanga tupo kumbe Mungu tusaidie waja wako.
Huyo demu unayemuwaza achana naeSeriously hili tatizo kubwa linalonisumbua usiku na mchana
Ikufika taim ya kulala kuupata usingizi ni vita kwa kweli na nikishtuka usiku kazi ni ile ile
Sometimes ni tatizo dogo tu ila litakaa kichwani mwangu na kuliwaza sana na hata nikijarubu kupotezea hua nashindwa
Hii inasababisha hata kuniathiri katika shughuli zangu za kawaida
Najaribu kujichanganya na watu ila nikiondoka tu kijiwe hua sina raha tena
Athari ninazohisi zinanisibu
**kupoteza kumbukumbu marakwamara
**kichwa kuuma nafkiri kwa kukosa mda mzuri wa kulala
** mwili wangu unadhoof
** Shughuli zangu haziendi sawa kazini bahati nzuri boss wangu muelewa na anjua nini kinanisibu
Wanajamvi najua wapo watu wamepitia haya au wanajua ni nini Namna ya kufanya ili hali ikae sawa
Naomba ushaur