danali
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 1,135
- 1,674
- Thread starter
- #21
Nina mke na watoto wawiliDepression au hofu inakusumbua, pendelea kucheza Game, km hauna mahusiano ya mapenz fanya hima umpate mwenzio, fanya mazoezi ya viungo kabla ya kulala like Pushup, skwash na mengine ili kuuchosha mwili ulale vzr pia unaweza tafuta movies nzuri uwe unaangalia zinafanya akili iwe busy na kuepuka kuwaza
Shida sio kua nina mawazo mengi tatizo langu nawaza kitu kupita kiasi nashindwa kuacha jambo lipite tu bila ya kubebesha mzigo akili yangu
I cant let things go easy
Nikiwa na kajambo kadogo tu katanikosesha hata usingizi
Hata hivyo shukran kwa tips ulizonipa