Hofu ya maisha imekujaa mkuu, Je hili tatizo limetokea hivi karibuni au ulikuwa nalo tangu unasoma chunguza ni nini kilichosababisha hiyo hali ni hali duni ya maisha au kazi uliyokuwa nao au familia lazima kutakuwa na chanzo
Hutakiwi kuishi hivyo be free, nilikuwa na matatizo km haya nilipokuwa nasoma Chuo nilikua najiuliza hv nikifeli itakuwaje nikawa cna furaha kabisa km wenzangu unakuta wenzangu wame relax mi muda wote niko na depression nazunguka na vitini sikosi kuhudhuria darasani sasa ukija kwenye paper unakuta maksi zangu ni sawa na wao au wamenizidi aah mwisho wa siku nikafuatilia hawa wenzangu wanaishi vp unakuta wanagusa sehem za msingi tu wanaita final touch maisha yanaenda tangu nilivyofuata mfumo huo naona maisha yangu mazuri nipo free. Hofu mbaya sana kwenye maisha unakuta muda wote mtu hana furahaMimi pia nina hofu ya maisha utakuta nawaza negative ie what if things go wrong? je nkifukuzwa kazi itakuaje? basi utakuta kitu kidogo nakiwaza muda mrefu na kinaniletea too much worries
Hutakiwi kuishi hivyo be free, nilikuwa na matatizo km haya nilipokuwa nasoma Chuo nilikua najiuliza hv nikifeli itakuwaje nikawa cna furaha kabisa km wenzangu unakuta wenzangu wame relax mi muda wote niko na depression nazunguka na vitini sikosi kuhudhuria darasani sasa ukija kwenye paper unakuta maksi zangu ni sawa na wao au wamenizidi aah mwisho wa siku nikafuatilia hawa wenzangu wanaishi vp unakuta wanagusa sehem za msingi tu wanaita final touch maisha yanaenda tangu nilivyofuata mfumo huo naona maisha yangu mazuri nipo free. Hofu mbaya sana kwenye maisha unakuta muda wote mtu hana furaha
yani utazani tumezaliwa tumbo moja jamani, hata mimi nna tatizo la kushindwa ku let go, yani jambo dogo tu ntaliwaza weeee hata miezi miwili, mtu akinikosea ndo dooooh acha tu ni adhabuNina mke na watoto wawili
Shida sio kua nina mawazo mengi tatizo langu nawaza kitu kupita kiasi nashindwa kuacha jambo lipite tu bila ya kubebesha mzigo akili yangu
I cant let things go easy
Nikiwa na kajambo kadogo tu katanikosesha hata usingizi
Hata hivyo shukran kwa tips ulizonipa
Pole sana kakayani utazani tumezaliwa tumbo moja jamani, hata mimi nna tatizo la kushindwa ku let go, yani jambo dogo tu ntaliwaza weeee hata miezi miwili, mtu akinikosea ndo dooooh acha tu ni adhabu
Ndo nnTest shada
MarijuanaNdo nn