Cataliyya
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 781
- 371
Hofu ya maisha imekujaa mkuu, Je hili tatizo limetokea hivi karibuni au ulikuwa nalo tangu unasoma chunguza ni nini kilichosababisha hiyo hali ni hali duni ya maisha au kazi uliyokuwa nao au familia lazima kutakuwa na chanzo
Mimi pia nina hofu ya maisha utakuta nawaza negative ie what if things go wrong? je nkifukuzwa kazi itakuaje? basi utakuta kitu kidogo nakiwaza muda mrefu na kinaniletea too much worries