Tatizo langu ni kuwaza kulikopitiliza

Tatizo langu ni kuwaza kulikopitiliza

Hofu ya maisha imekujaa mkuu, Je hili tatizo limetokea hivi karibuni au ulikuwa nalo tangu unasoma chunguza ni nini kilichosababisha hiyo hali ni hali duni ya maisha au kazi uliyokuwa nao au familia lazima kutakuwa na chanzo

Mimi pia nina hofu ya maisha utakuta nawaza negative ie what if things go wrong? je nkifukuzwa kazi itakuaje? basi utakuta kitu kidogo nakiwaza muda mrefu na kinaniletea too much worries
 
Mimi pia nina hofu ya maisha utakuta nawaza negative ie what if things go wrong? je nkifukuzwa kazi itakuaje? basi utakuta kitu kidogo nakiwaza muda mrefu na kinaniletea too much worries
Hutakiwi kuishi hivyo be free, nilikuwa na matatizo km haya nilipokuwa nasoma Chuo nilikua najiuliza hv nikifeli itakuwaje nikawa cna furaha kabisa km wenzangu unakuta wenzangu wame relax mi muda wote niko na depression nazunguka na vitini sikosi kuhudhuria darasani sasa ukija kwenye paper unakuta maksi zangu ni sawa na wao au wamenizidi aah mwisho wa siku nikafuatilia hawa wenzangu wanaishi vp unakuta wanagusa sehem za msingi tu wanaita final touch maisha yanaenda tangu nilivyofuata mfumo huo naona maisha yangu mazuri nipo free. Hofu mbaya sana kwenye maisha unakuta muda wote mtu hana furaha
 
Ahsante
 
Nina mke na watoto wawili
Shida sio kua nina mawazo mengi tatizo langu nawaza kitu kupita kiasi nashindwa kuacha jambo lipite tu bila ya kubebesha mzigo akili yangu
I cant let things go easy
Nikiwa na kajambo kadogo tu katanikosesha hata usingizi
Hata hivyo shukran kwa tips ulizonipa
yani utazani tumezaliwa tumbo moja jamani, hata mimi nna tatizo la kushindwa ku let go, yani jambo dogo tu ntaliwaza weeee hata miezi miwili, mtu akinikosea ndo dooooh acha tu ni adhabu
 
yani utazani tumezaliwa tumbo moja jamani, hata mimi nna tatizo la kushindwa ku let go, yani jambo dogo tu ntaliwaza weeee hata miezi miwili, mtu akinikosea ndo dooooh acha tu ni adhabu
Pole sana kaka
Nimepata ushauri kwa baadhi ya wachangiaji najaribu kuyafanyia kazi

Bado nashangazwa na baadhi ya member kupost utumbo kwenye mambo ya msingi
Mtu anaomba ushari na ukisoma post yake unapata point kama huyu mtu ana serious problem bado kuna mtu ataleta mambo ya siasa na kejeli?? huo ni uchawi

Tubadilikeni jamani
 
Wagonjwa ni wengi wa anxiety and depression. Tatizo nchi yetu haina mfumo wa kungamua haya mambo au kuyatibu kama wenzetu....huku hosp wanapima malaria tu na magonjwa ya aina hiyo. Psychological issues sio kivile, pia waliopo ni wapigaji wa kufundisha "quick - get rich/happy schemes".....bora wataalam wanaofahamika wajulikane watu wapate tiba angalau tz itoke kwenye nchi zisizo furaha.
 
Back
Top Bottom