Tatizo letu wasomi wengi, tunataka kuyaendesha maisha kama makocha wakati bado tuko level ya uchezaji

Lakini me ntaendelea kulaumu mfumo wa elimu ya mkoloni kiukweli tumepoteza miaka mingi sana shuleni hadi chuo kwa mitaala iliyotengenezwa kwa ajili ya industrial revolution huko, mara 10 usome stadi za kazi na fani kuliko mitaala ambayo hutakuja kutumia ata 90% unachosoma. Na Dunia inavoenda Kas3i elimi inazidi kua outdated
 
Mfumo wetu wa elimu unatuchelewesha saan
 
Shida kupata hiyo nafasi ya kujifunza kazi ndio mtiti mwingine. Madogo wana mpaka miaka mitano mtaani hawana ajira. Sasa kapata kahela kake si bora ajilipue tu kwenye biashara. Masuala mengine atajifunza mbele kwa mbele
 
Bila shaka nayeye pia kashapata uzoefu kupitia alichokifanya kikubwa amejaribu kuna wengine hata kujaribu wanaogopa
 
Bila shaka nayeye pia kashapata uzoefu kupitia alichokifanya kikubwa amejaribu kuna wengine hata kujaribu wanaogopa
Ni kweli kwa sasa hawezi kuwa kama alivyokua hapo mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…