Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Neno linaumba, right?
Haiwezekani bado una wasi wasi na mienendo ya uendeshaji wa huduma ya kiroho ya hawa watu alafu bado una wawasilisha kwa jina la kipekee la nabii.
Kutapeliwa kuna mentallity, sasa ukisha ita tapeli nabii ina maana tayari umeshaanza kutapelika.