Tatizo lolote la PC/device

OK nimekupata mkuu naweza nikasema labda

Windows yako imekuwa corrupted kwasabab had unafika sehem baadhi ya origin apps zinagoma bas inawzekana virus wameshambulia sana na sasa wamebakiza tu kuimalizia system, so by anytime unaweza ukaona pc yako ika shut down yenyew na ukitaka kuwasha inakugomea

So simple solution jarbu kufanya repair ya system yako yote or kama ulishawah kufanya creation point yoyote bas restore itarud vizur tu

# # #
Hopefully it'll help you out

Pirate
 
Nenda kariakoo makutano ya mtaa wa uhuru na mtaa wa kongo karibu na pale ilipokuwepo roundabout zamani.Utapata hicho kifaa kwa buku 5 tu
 
Tafuta SATA to USB connector, ifunge hard disk kama external utoe mafile yako
 
Aah! afadhali
Mwenzenu naomba mnijuze....je kuna deki yenye uwezo wa kutumia external hard drive?
na inaitwaje. Plz!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta deki aina yoyote yenye port ya USB drive.Siku hzi karibia deki zote zina hiyo port.
Kimsingi deki au kifaa chochote chenye port ya USB flash drive kinabidi kiweze kusoma External hard drive. Tatizo huwa ni power ndogo kwenda kwenye External na Invalid file system.
Cha kufanya;
1.Format External yako katika mfumo wa FAT32 kisha uweke mafile uangalie kama itaweza kusoma
IKISHINDIKANA
2.Tafuta waya wa External wenye vichwa viwili vya USB, kichwa kimoja connect kwenye deki, kichwa kingine connect kwenye usb adapter ya kuchargia simu.
 
Delly yangu inasumbua kwenye internet yan nikiwasha nakuta internet inajifungua page nyingi nyingi auotomatic bila mm kucomand ifanye hivo naitaji msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni dalili ya Virus; aina ya adware wanaojidownload automatically ukiwa unatumia internet kubrowse au ukidownload applications nyngine za kawaida kabisa. Cha kufanya;

Nenda kwenye control panel, tafuta program zozote unazoona ni mpya na hujaziInstall wewe, ziUnisntall.Au download program inaitwa Malwarebytes antimalware itatoa hizo takataka automatically
 

Tatizo ni keyboard yako, delete key imestuck.Jaribu kuinyofoa delete key then uirudishie,uangalie kama tatizo litakwisha.

Lisipokwisha download program inaitwa KEYTWEAK, hii itakusaidia kuremapp delete key kwenda kwenye key nyngine ambayo ni nzima. Ukiona umefanya hivyo na tatizo likaisha, basi unaweza ukaendelea kuitumia hivyhvyo au ukanunua keyboard mpya
 
SIMCARD NOT REGISTERED ON IPHONE 4S?nafanyeje msaada

by emma mjasiriamali
 
Mkuu,Nina dell inspiron 15-3559 niiapdate bios ,ikafel mpaka muda huu,inawaka kwenye taa ya kuonenyesha power inaingia,bt haidisplay chochote,yaan kwa kifupi haionyeshi chochote!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh...jaribu kukuseparate vitu halafu iache kwa muda bila power na cmos battery

by emma mjasiriamali
 
Mim nkityp alaf nisev kwenye flash niktaka kuprint inaonesha shotcut yan inakuw bado inaonyesha bado iko kweny word ikiwa kweny flash tatizo nin? Hp

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
Machine yako inavirus tumia smadav its free

by emma mjasiriamali
 
Habari kiongozi? Ndugu nina tatizo kidogo nimenunua external hard disk ya western digital element yenye ukubwa wa 2 TB na ilikuwa na mzigo full japo imekuwa slow in speed kwenye kuhamisha data. Sasa leo asubuh wakati nahamisha data nikakuta folder moja lina virus wa ukubwa wa 160 gb wakati ilibaki nafasi ya gb 80 so nikaamua kuiformat kwa kupitia disk management na kuidelete partition nzima halafu nianze moja, nilivyoidelete wakati naanza kutengeneza partition upya ikaonyesha ukubwa wa 127 gb tu na nyingine iliyobakia haionekani mpaka sasa. Naomba msaada wako wa njia za kuirudisha katika original capacity ya 1. 81 TB
 
Ichomeke hard disk, then nenda kwenye start type disk management; select"create and format hard disk parititions' hapo utaiona hard disk yako na unallocated space;ukiiright click hiyo unallocated space utapata option ya kutengeneza new partition
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…