Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OK nimekupata mkuu naweza nikasema labdaHaifanyi both. Nikiwa online ile autoupdate inarun vzr, ila kwa important updates inagoma mf, update for windows 7, Window 7 Service Pack 1, Advanced Micro Devices, Inc driver for ADM SMBus.
Vilevile nikiwa na new programme nikitaka kuinstall mf Adobe reader zinagoma.
Nikiright click kwenye icon ya my computer then nikaclick Manage inaniandikia Application not found.
Please, msaada wako....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kariakoo makutano ya mtaa wa uhuru na mtaa wa kongo karibu na pale ilipokuwepo roundabout zamani.Utapata hicho kifaa kwa buku 5 tuUsijali mkuu, kuna kitu kipo kama uionavyo flash ila kina matundu ya sounds, mahali unachomeka phone connector sasa kwenye computer yako! Ikikubali namna unavyohitaji basi zile port za kwenye PC yako hazisomi!
Mafundi wengi wanazo, unaweza kujaribu kwanza kuthibitisha nisemacho kabla ya kununua! Chenyewe kinauzwa buku 5 labda cjui mahali ulipo wanauzaje ila najua kinauzwa buku 5!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta SATA to USB connector, ifunge hard disk kama external utoe mafile yakoMkuu asante sana. Kumbe JF kuna vichwa matata sana.
PC yangu ina partition na data zote muhimu zipo kwenye D.
Hii cpu ilizingua muda sana nikahangaika nayo illiwaka last week nikaitumia ila nilivyoizima haiwaki tena.
Nikiweka window mpya. Inasome cd ila ikishafika kwenye zile arrow za kuselect cd rom ama flash disk key board inagoma. Inakuwa dormant
Ila nikingia kwenye f1 keyboars inafanya kazi.
Mkuu hapo unadhani kuna tatizo gani?
*Taa nyekunduMimi natumia destop aina ya dell optplex ile ya tower,nkiwasha haiwaki inawasha taa nueundu kama indikator ya gari katika batani ya kuwashia
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta deki aina yoyote yenye port ya USB drive.Siku hzi karibia deki zote zina hiyo port.Aah! afadhali
Mwenzenu naomba mnijuze....je kuna deki yenye uwezo wa kutumia external hard drive?
na inaitwaje. Plz!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni dalili ya Virus; aina ya adware wanaojidownload automatically ukiwa unatumia internet kubrowse au ukidownload applications nyngine za kawaida kabisa. Cha kufanya;Delly yangu inasumbua kwenye internet yan nikiwasha nakuta internet inajifungua page nyingi nyingi auotomatic bila mm kucomand ifanye hivo naitaji msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada tutani..
Nina Laptop yangu Dell N series.
Ukiiwasha na ku click au hata kuselect icon yoyote kwenye desktop au hata kwenye folder tu inaleta ile msg km nataka ni idelete.(are you sure you want to send this folder to recycle bin?.na italeta huo ujumbe zaidi ya mara 100 as if nimehold ile button ya delete. nimejaribu hata kuchomoa ile button ya delete ila bado tatizo linaendelea.. msaada hapo wakuu..
Angalia fan kama inafanya kazi.....kuna uwezekano inaoverheatNina HP laptop, sasa kila nikianza kuboot inadisplay kisha inaganda hapo ktk hatua za awali kabisa! Tatizo nini mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kioo cha nje,kama haifanyi badili ramPC yangu haiwaki tena ilianza hivi
![]()
Then
![]()
![]()
![]()
Kwa sasa nikiiwasha vile vitaa vinawaka na feni nasikia inazunguka lakini kioo hakioneshi chochote.
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nitafanya hivyoOK kwa software advice ni hiv
Inawzekana playback device ni headphones so jarbu kubadilisha na uweke system iwe default playback device
Pirate
Duh...jaribu kukuseparate vitu halafu iache kwa muda bila power na cmos batteryMkuu,Nina dell inspiron 15-3559 niiapdate bios ,ikafel mpaka muda huu,inawaka kwenye taa ya kuonenyesha power inaingia,bt haidisplay chochote,yaan kwa kifupi haionyeshi chochote!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Machine yako inavirus tumia smadav its freeMim nkityp alaf nisev kwenye flash niktaka kuprint inaonesha shotcut yan inakuw bado inaonyesha bado iko kweny word ikiwa kweny flash tatizo nin? Hp
Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
Speaker ama njia zake zimekufaHabari yako, laptop HP500 notebook speaker haitoi Sauti volume adjustment ipo full . Nikiweka speaker za nje nasikia kama kawaida, je tatizo ni nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari kiongozi? Ndugu nina tatizo kidogo nimenunua external hard disk ya western digital element yenye ukubwa wa 2 TB na ilikuwa na mzigo full japo imekuwa slow in speed kwenye kuhamisha data. Sasa leo asubuh wakati nahamisha data nikakuta folder moja lina virus wa ukubwa wa 160 gb wakati ilibaki nafasi ya gb 80 so nikaamua kuiformat kwa kupitia disk management na kuidelete partition nzima halafu nianze moja, nilivyoidelete wakati naanza kutengeneza partition upya ikaonyesha ukubwa wa 127 gb tu na nyingine iliyobakia haionekani mpaka sasa. Naomba msaada wako wa njia za kuirudisha katika original capacity ya 1. 81 TBHabari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
Ichomeke hard disk, then nenda kwenye start type disk management; select"create and format hard disk parititions' hapo utaiona hard disk yako na unallocated space;ukiiright click hiyo unallocated space utapata option ya kutengeneza new partitionHabari kiongozi? Ndugu nina tatizo kidogo nimenunua external hard disk ya western digital element yenye ukubwa wa 2 TB na ilikuwa na mzigo full japo imekuwa slow in speed kwenye kuhamisha data. Sasa leo asubuh wakati nahamisha data nikakuta folder moja lina virus wa ukubwa wa 160 gb wakati ilibaki nafasi ya gb 80 so nikaamua kuiformat kwa kupitia disk management na kuidelete partition nzima halafu nianze moja, nilivyoidelete wakati naanza kutengeneza partition upya ikaonyesha ukubwa wa 127 gb tu na nyingine iliyobakia haionekani mpaka sasa. Naomba msaada wako wa njia za kuirudisha katika original capacity ya 1. 81 TB