Tatizo lolote la PC/device

Kwanin VLC yang inachelewa kuplay??msaada pls natumia window 8

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"

Natumia windows 8.1 tatizo haina sleep option!
Nawezaje pata hiyo option ya sleep?

Natumia windows 8.1 na ubuntu 16 ila sipati option ya kuchagua hizo os 2 inawaka window moja kwa moja.
Naomba msaada plz nawezaje pata os zote 2 nichague nayotaka?
Inaweza kufanya hibernation??

Pirate

pc yangu curser inaniboa kweli kuna saa inastuck na kuelekea direction nisiyotoka embu nielewesheni nifanyeje

Waku habari
Kuna PC hapa ilikua ina play CD vizuri tu, ila kwa sasa ukiingiza CD haisomi hata ukifungua my computer inaonyesha tu zile partitions(Local disk "C","D") lakini haionyeshi kabisa ile icon ya CD/DVD, nini tatizo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama ni laptop chomoa uo mlango Kisha urudishe Tena, yan uchomoe kabisa kwenye connector yake ya kwenye motherboard na urudishe Tena, angalia kama kutakuwa na mabadiliko yoyote,

Kama desktop hivyo... Nakushauri hivyo kwasabab inawezekana ikawa kwenye connection yake imecheza kidogo au imelegea kwa sabab nying tu,

Ukishindwa kuiona bado angalia kwenye divice manager kama inaonekana kama ionekana labda fanya update ya drivers au jarbu kuazima mlango wa cd wa mtu mwingine uchomeke uone ukionekana ujue wako unahitaj kubadilishwa

Pirate

pc yangu curser inaniboa kweli kuna saa inastuck na kuelekea direction nisiyotoka embu nielewesheni nifanyeje
Pointer problem inaweza kusababishwa na

Software

Hardware

Software inawezekana ikawa ni
Virus
Drivers
System corrupted

Virus>> tumia anti-virus ambayo Ina nguvu kuondoa virus na itarud vizur

Drivers >> inawezekana zikawa ziko out off date ndio inakuwa strange kwako, so update

System corrupted>> jarbu kuchek na hii labda virus ni wengi wameingia had kwenye system kwaiyo kama inawezekana ikawa ni hivyo bas fanya format ya windows!

Hardware

Hapa kama unatumia touch pad bas jarbu kuiblock isifanye Kaz (baadhi ya latest /modern computers Zina button kabisa but lazima ushikilie function key Kisha ibonyeze hiyo button ambayo ipo kati ya f1>f12 kwa mfano Toshiba nying ni FN +f5) ukishafanya hivyo chomeka USB mouse afu uone kama inafanya vizur Kaz na kama ni hivyo bas fanya zile process za SOFTWARE, ukiona umefanya imegoma kurud bas inakubid ukabadilishe hiyo touch pad yako

Hopefully it'll help you out

Pirate

RAM Nimebadilisha ila Bila Bila.
Ukiweka hizo RAM kwenye machine nyingine zinapiga mzigo fresh tu.
Uk connect na VGA cable kwenda kwenye monitor Inapeleka picture kwenye monitor?

Pirate

Shukrani kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app

Haipeleki display iko poa kabisa
OK kwaiyo mkuu unamaanisha pc inawaka but aionyesh kitu chochote???, na inaweza kuwaka kwa muda gani bila kuzima?

Pirate

Wakuu habari

Nimedownload kaspersky antivirus hivi punde sasa inaniambia niistall tena .net frame work 4.0 baada ya hapo ndo ipogress sasa nimeidownload imefika mahala imestack aiendelei tena nimesubiri na kusubiri naona iko pale pale

Alafu hii so Mara ya kwanza kuna baadhi ya software nyingine nkidownload huwa inakua hivi hivi inahitaji net frame work ya version flan ukidownload ikifika mahala inastack huwa sijui tatizo ni nini

Kwani hii net framework umuhimu wake hasa ni upi na nifanyeje kufinish installation maana mpaka sasa imeganda tu haindelei

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

OK kwaiyo mkuu unamaanisha pc inawaka but aionyesh kitu chochote???, na inaweza kuwaka kwa muda gani bila kuzima?

Pirate
Inazunguka fan tu pia ukijaribu kufungua mango Wa Cd/ unafunguka fresh ila ndiyo haionyeshi chocolate hata keyboard haziwaki zile tag zaké

.NET FRAMEWORK kwa ufupi tu uwa inatumika kwaajili ya developers wa app ili iwe rahisi kwao kama kwenye creating app na kuunganisha na database au kuunganisha na server yoyote kwa urahisi zaidi. kwenye KASPERSKY ANTIVIRUS uwa inatumika ili pale unapofanya activation iwe rahisi na haraka kuunganishwa na server kwa hizo keys zako, na pia inapofanya update basi iwe rahisi kuonekana kwenye server yao, kwa maelezo mafupi tu haya .

kama .net framework inagoma kuinstall download kwanza Microsoft .NET Framework Repair Tool, kisha download fata hayo maelezo utakayopewa ni rahisi tu, kisha restart pc yako

kama ukishindwa njia hiyo basi fanya hivi

Open Control Panel → Programs → Programs and Features <kisha angalia .net framework 4 kisha unistall>

baadae download .net famework ambayo inapatikana kwenye website ya Microsoft bure kabisa kisha install alafu install tena antivirus yako

Inazunguka fan tu pia ukijaribu kufungua mango Wa Cd/ unafunguka fresh ila ndiyo haionyeshi chocolate hata keyboard haziwaki zile tag zaké

mkuu kama ni hivyo kwa ushauri jaribu kubadilisha kifaa kimoja kimoja kwenda kwenye pc nyingne maana inavyoonekana sijajua hasa ni kilichosumbua kwenye pc yako kama ram nzima, na display yako aina matatizo, jaribu njia hiyo japo ni ngumu kidogo lakini ndio itakupa uhakika kipi ni kizima na kipi ni kibovu kama utaweza

Nimenunua printer multfunction ila sijaweza bado kuweka settings za scanner. Mwenye uzoefu na mambo ya scanner tusaidiane.

Ricoh aficio 3025 ....hiyo ndio model ya printer

Sent using Jamii Forums mobile app

mkuu nina Acer travelmate p 253e ina stuck sana kuliko kawaida yaani inaboa mpaka basi nifanyaje aisee mpaka nimewaza nibadili window aisee. Msaada

Sent using Jamii Forums mobile app

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…