Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Wakuu habari zenu.
Nina pc yangu fujitsu ina matatizo kidogo. Mwanzoni ilikuwa nikiiwasha inawaka ila haimalizi. Nikajaribu kuifanyia repair kwa external bootable device ila bado inanigomea na haimalizi mpaka mwisho.
Nimetumia external hard disk ila still bado haimalizi. Msaada tafadhali kwa mwenye uelewa mnahisi tatizo litakuwa ni nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina PC yangu aina ya Hp 250 g4 imeharibika motherboard.. Msaada kwa mwenye kujua sehem ambayo naweza kupata motherboard nyingine!
IMG_20170617_143842.jpg
 
Ndiyo mkuu. Kuna wakati nacopy file inajirestart kwahiyo inabid nianze moja kurusha.
Ile inayoappear baada ya kubonyeza window button + E
OK mkuu labda fanya ku-restore kwanza sometimes inawezekana ikawa ni virus

Pirate
 
wakuu mambo vipi
Laptop yangu chaji iliungua,nikawa natumia chaji ya kuazma

imepita mwez mzma cjaiwasha,tangu wiki iliyopta kila nikichomeka chaj,haioneshi ka inapeleka,,ila ukiishika laptop huku umeichomeka chaji,inakuwa inashtua mkono kama shot hv..maana yake umeme unafka kwenye laptop

Tatizo laweza kuwa nini?
Sijajua vizur maelezo ya kukusaidia mkuu, Lakin kwa ushaur tu tumia charger yake au tafuta inaweza ikaleta tatizo Zaid ya shoti

Pirate
 
Kaka Pirate pole na uchovu
Naomba msaada wako Nina PC kila Niki connect na USB kwenda kwenye simu inacharge tu ,lakn option ya kutransfer haiji...Nifanyeje mkuu??

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok mostly android zinakubal kucharge bila hata ukiwa ujaweka drivers zake. Kama ni hivyo bas download drivers zake

AU

Simu nying za android Zina option kama za MASS STORAGE, CHARGING ONLY, etc, kwaiyo jarb kuangalia kwenye simu yako unapoiweka charge jarb kuangalia hapo ili ubadilishe

Pirate
 
Mimi na desktop yangu aina ya HP sasa nikiiwasha ile CPU feni zinafanya kazi lakini machine taa zake haziwaki na pia haipelek signal kwenye monitor kwa iyo tatizo nini hapo mkuu
Aitoi mlio wowote?

Pirate
 
habari mkuu Pirate.
laptop yangu aina ya Asus scren inaonyesha mstali mweupe toka juu mpaka chini upande wa kushoto. Naomba msaada wako.
Display imesumbua kajarb kubadilishwa au kama unaweza nunua ubadilishe mwnyw

Pirate
 
habari ya majukumu wana jf, naomba kujua namna ya kutuitambua pc yangu kama ina access ya bluethooth maana nikifungua kwa upande wa betry ya pc naona mchoro wa bluetooth lakn ndani ya pc siioni, tafadhali naomba msaada, pc ni toshiba, natumia window 7 professional

Sent using Jamii Forums mobile app
OK mkuu kujua kama una Bluetooth connection Kuna njia rahisi hiv

Right click my computer >manage > device manager utaona kama ipo au aipo na kama ipo bas itaitaj drivers itakuonyesha pia,

NOTE
Second hand computer nying uwa wanazchomoa card za Bluetooth na uwa wanauza separately au uwa zinafungwa kwengin, Toshiba nying second hand ni chache zilizoandikwa Zina Bluetooth ukakuta ipo, nimetumia Toshiba nying na had sasa natumia imeandikwa inayo but inside amna

Pirate
 
Wakuu habari zenu.
Nina pc yangu fujitsu ina matatizo kidogo. Mwanzoni ilikuwa nikiiwasha inawaka ila haimalizi. Nikajaribu kuifanyia repair kwa external bootable device ila bado inanigomea na haimalizi mpaka mwisho.
Nimetumia external hard disk ila still bado haimalizi. Msaada tafadhali kwa mwenye uelewa mnahisi tatizo litakuwa ni nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
Aimaliz kuwaka kwenye bios au kwenye windows system mkuu?

Pirate
 
Yaani haitoi mlio wowote maana nilikuwa napiga window Mara umekatika gafla na ukarudi sasa tatizo lilianzia hapo
OK jarb kutoa ram na CPU kisha zirudishie Tena then uku naendelea kuangalia solution

Pirate
 
Msaada wenu wataalamu. Mimi laptop yangu kikiizima inakubali kwenye screen, lakini tatizo lake betri inaendelea kufanya kazi underground hadi chaji yake iishe kabisa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samsung note 4 inashindwa kabisa kudaka mawimbi ya 3G ,wakati simu nyingine muda wote ni 3G,tatizo ni nini hapo? Natumia mtandao wa vodacom
 
Back
Top Bottom