Allan mapesa
Senior Member
- Jul 15, 2017
- 124
- 88
Kwanin VLC yang inachelewa kuplay??msaada pls natumia window 8
Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaweza kufanya hibernation??Natumia windows 8.1 tatizo haina sleep option!
Nawezaje pata hiyo option ya sleep?
Natumia windows 8.1 na ubuntu 16 ila sipati option ya kuchagua hizo os 2 inawaka window moja kwa moja.
Naomba msaada plz nawezaje pata os zote 2 nichague nayotaka?
RAM Nimebadilisha ila Bila Bila.Cheki ram mkuu
Pirate
Kama ni laptop chomoa uo mlango Kisha urudishe Tena, yan uchomoe kabisa kwenye connector yake ya kwenye motherboard na urudishe Tena, angalia kama kutakuwa na mabadiliko yoyote,Waku habari
Kuna PC hapa ilikua ina play CD vizuri tu, ila kwa sasa ukiingiza CD haisomi hata ukifungua my computer inaonyesha tu zile partitions(Local disk "C","D") lakini haionyeshi kabisa ile icon ya CD/DVD, nini tatizo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pointer problem inaweza kusababishwa napc yangu curser inaniboa kweli kuna saa inastuck na kuelekea direction nisiyotoka embu nielewesheni nifanyeje
Haipeleki display iko poa kabisaUk connect na VGA cable kwenda kwenye monitor Inapeleka picture kwenye monitor?
Pirate
Shukrani kiongoziKama ni laptop chomoa uo mlango Kisha urudishe Tena, yan uchomoe kabisa kwenye connector yake ya kwenye motherboard na urudishe Tena, angalia kama kutakuwa na mabadiliko yoyote,
Kama desktop hivyo... Nakushauri hivyo kwasabab inawezekana ikawa kwenye connection yake imecheza kidogo au imelegea kwa sabab nying tu,
Ukishindwa kuiona bado angalia kwenye divice manager kama inaonekana kama ionekana labda fanya update ya drivers au jarbu kuazima mlango wa cd wa mtu mwingine uchomeke uone ukionekana ujue wako unahitaj kubadilishwa
Pirate
Inazunguka fan tu pia ukijaribu kufungua mango Wa Cd/ unafunguka fresh ila ndiyo haionyeshi chocolate hata keyboard haziwaki zile tag zakéOK kwaiyo mkuu unamaanisha pc inawaka but aionyesh kitu chochote???, na inaweza kuwaka kwa muda gani bila kuzima?
Pirate
Wakuu habari

Nimedownload kaspersky antivirus hivi punde sasa inaniambia niistall tena .net frame work 4.0 baada ya hapo ndo ipogress sasa nimeidownload imefika mahala imestack aiendelei tena nimesubiri na kusubiri naona iko pale pale

Alafu hii so Mara ya kwanza kuna baadhi ya software nyingine nkidownload huwa inakua hivi hivi inahitaji net frame work ya version flan ukidownload ikifika mahala inastack huwa sijui tatizo ni nini

Kwani hii net framework umuhimu wake hasa ni upi na nifanyeje kufinish installation maana mpaka sasa imeganda tu haindelei

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Inazunguka fan tu pia ukijaribu kufungua mango Wa Cd/ unafunguka fresh ila ndiyo haionyeshi chocolate hata keyboard haziwaki zile tag zaké
mkuu nina Acer travelmate p 253e ina stuck sana kuliko kawaida yaani inaboa mpaka basi nifanyaje aisee mpaka nimewaza nibadili window aisee. MsaadaHabari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
Inakuwa Ina stuck wakat gan sana?mkuu nina Acer travelmate p 253e ina stuck sana kuliko kawaida yaani inaboa mpaka basi nifanyaje aisee mpaka nimewaza nibadili window aisee. Msaada
Sent using Jamii Forums mobile app