Tatizo lolote la PC/device

laptop yangu aina ya ACER inachelewa sana kuwaka tatzo ni nini, nikiwasha inawaka ila kudislay desktop inachelewa sana
 
Kustack kwa pc uwa mostly ni tatizo LA hardware sio sana software, kwaiyo jarb kuchange windows kwanza.

Pirate
 
laptop yangu aina ya ACER inachelewa sana kuwaka tatzo ni nini, nikiwasha inawaka ila kudislay desktop inachelewa sana
Labda ni ram ndogo kutokana na vitu ulivyoviweka kwenye pc yako

Au

Boot up app Zipo nying sana so inapokuwa inawaka nazo umeziseti au zimejiseti ziwake na windows kwaiyo kutokana na boot up time ya windows yako lazima ichelewe sana kwasabab inajitaid kila app istart wakat na pia inawezekana zipo nying,

Cha kufanya kwanza jarbu kupunguza boot up app ukiona tatizo linaendelea ongeza ram inawezekana iyo os ulioweka aiwez kufanya Kaz vizur kutokana na uwezo wa ram yako/zako.

Pirate
 
Kustack kwa pc uwa mostly ni tatizo LA hardware sio sana software, kwaiyo jarb kuchange windows kwanza.

Pirate
Mkuu window explorer inajirestart baada ya muda.
Nimejaribu kugoogle lkn sihapata suluhu.
Inatesa sana
 
Unawezaje kuondoa multiple desktop display katika PC?
Yaani zinaonekana desktop view nne zenye icon sawa katika screen ya PC moja nakufanya icon font kuwa ndogo sana.

Msaada tafadhali.
 
Mimi PC yangu nikifungua game inasema not enough video memory.
Kazi nyingine inapiga fresh tu
Tatizo ni nn na nifanyaje
 
Mimi PC yangu nikifungua game inasema not enough video memory.
Kazi nyingine inapiga fresh tu
Tatizo ni nn na nifanyaje
Kutokana na game unazotaka kucheza ndio itakudai hivyo na kama game kubwa pia inataka video memory kubwa ambayo uwa inakuja na cheap za video card kwaiyo angalia video memory yake ukubwa wake ndio uweze kudownload game zinazoendan na size ya memory yako kama sivyo game zote kubwa zitakukatalia mostly ni hiz latest game zinaitaji video memory kubwa Sana mkuu

Pirate
 
wakuu mambo vipi
Laptop yangu chaji iliungua,nikawa natumia chaji ya kuazma

imepita mwez mzma cjaiwasha,tangu wiki iliyopta kila nikichomeka chaj,haioneshi ka inapeleka,,ila ukiishika laptop huku umeichomeka chaji,inakuwa inashtua mkono kama shot hv..maana yake umeme unafka kwenye laptop

Tatizo laweza kuwa nini?
 
Sawa mkuu .lakini ata gta 3 na yenyewe inagoma[emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka Pirate pole na uchovu
Naomba msaada wako Nina PC kila Niki connect na USB kwenda kwenye simu inacharge tu ,lakn option ya kutransfer haiji...Nifanyeje mkuu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi na desktop yangu aina ya HP sasa nikiiwasha ile CPU feni zinafanya kazi lakini machine taa zake haziwaki na pia haipelek signal kwenye monitor kwa iyo tatizo nini hapo mkuu
 
habari mkuu Pirate.
laptop yangu aina ya Asus, scren inaonyesha mstali mweupe toka juu mpaka chini upande wa kushoto. Naomba msaada wako.
 
habari mkuu Pirate.
laptop yangu aina ya Asus scren inaonyesha mstali mweupe toka juu mpaka chini upande wa kushoto. Naomba msaada wako.
 
habari ya majukumu wana jf, naomba kujua namna ya kutuitambua pc yangu kama ina access ya bluethooth maana nikifungua kwa upande wa betry ya pc naona mchoro wa bluetooth lakn ndani ya pc siioni, tafadhali naomba msaada, pc ni toshiba, natumia window 7 professional

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…