Mi nilikuwa na case kama hiyo ila mm ni usb port zote hazifanyi kazi, ila hii ilianza baada ya kujaribu kuedit registry ili niformat flash iliyokuwa write protected. Kuna njia yoyote ya kuroll back registry settings japo sina backup yake?Hi
Pc ina usb port 3
Hp pavilion 15
Port moja haifanyi
Kazi
All drivers zake ziko poa
Solution yake hapo nini?
Kuna uwezekano wa kubadili port?
Limeanza ghaflaUwezekano wa kubadili port upo, lakin source ya ilo tatizo cjajua hasa n nn? Labda sema ilo tatizo limekuja na hiyo pc au limeanza badae?
Upadate window hiyo mkuuPC yng ni lenovo, taa imezma kuangalia mpk nimulike KWA tochi. Ht nipandshe mwanga haionyeshi sijui tatizo ni nini
Nimenunua VGA kwa HDMI adapter lakin kwenye desktop hiyo cable inafanya kaz kwenye laptop No signal kwenda kwenye flat screen tatizo ni nini? Naomba msaada wa software kama ipo View attachment 919606View attachment 919608
Laptop yangu DELL haiwaki, imezima baada ya umeme kukatika nilipokuwa naitumia maana haikai na chaji, umeme ulivyorudi nimewasha inawaka taa ya kijani kama sekunde 3 tu basi..kitaa kinazimika na laptop ndo haiwaki kabisaa..MSAADA PLIZ.
Kioo hakiwaki na feni haizunguki..ni kitaa cha kijani tu kinawaka kama sekunde 5 ivi afu kinazimka...zamani kabla ya hili tatizo kitaa cha kijani kilikuwa kinawaka ndo feni inazunguka na kioo kinawaka.Inapowaka kila kitu kinafanya kaz yan,
Fan inazunguka?
Kioo kinaonesha kitu chochote ?
Asante mkuu, nalifanyia kazUkiunganisha flat, pc nying lazima ubonyeze fn+f4 ili uamishe picha kutoka laptop kuipeleka kwenye tv
Tatizo bado mkuu, sijui kuna njia nyingi waweza kunisaidia?Asante mkuu, nalifanyia kaz
Wakuu hakuna anayejua hii case?JAMANI MSAADA NANI ANAJUA KUTOA VIRUSI FLAN WANA CHANGE PROGRAM ZOTE ZINAKUA ZERO BYTE? WANANISUMBUA SANA MANA WANAKULA PROGRAM ZOTE ZILIZOPO KWENYE COMPUTER!!!
Asantee wakuu pc yangu imepona kumbee ttz RAM ilikufaDell nikiwasha fenii inazunguk afuu inakata lkn kwenyee screen aiwakii ttz niniii???
Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate