Windows (10) yangu ime xpaya, mwanzo nilizoea kuingiza keys flan inakuwa activated lakin sasa haikubal kuwa activated...... Msaada hapo plz
Hii hdd mwanzo ilikuwa na window ten so baada yakuitoa nakuiweka kwenyee laptops nyngne.ndo nikawaka window 7 '' kisha nika update driver kupitia app ya driver pack online
Baada yakumaliza c ndo nikaanza kuingiza pc apps mbali mbali
Lakin kila nikiingiza apps nikifungua inaleta ujumbe huo
Laptop yangu imeweka mstari katikati sijui shida nn..mxaada tafadhari wakuuView attachment 940742
Asante...... Nime download lakin inaniomba password baada ya ku unzip hlo folderDownload Download | The Official KMSpico Site
Itakusaidia
Asante...... Nime download lakin inaniomba password baada ya ku unzip hlo folder
Zuia windows updatesnimekua nikitumia PC ambayo na iunganisha na simu kwa matumizi ya Internet lakin saivi nikifanya hivo mb zinaliwa sana tofauti na nikitumia simu pekee
wakuu tatizo litakua nn na jinsi ya kulitatua
Ukijibiwa unitagWakuu nikiwasha pc yangu inaniandikia NO BOOT DEVICE FOUND.. Press any key to reboot na nkipress any key inarudi hapo hapo... Msaada wakuu
Nmeangusha HDD kutoka mezan na nlipokonekt ktk PC ilionesha partitions tu ikabid niifungue kuchek ndan kulikon! !!
Hv sasa inaspin tu pas kuonekana ktk PC.
Mwene utaalamu na HDD anisaidie coz ina vitu VYA HUMIMU ndan NNAVIHITAJI SANA
KMSpico 10.2.2 Windows and Office Activator download hapa password ni 123
Akiksha umeizima antivirus yoyote unayotumia maana itaiona kama virus
Eebhan nimejarib lakin naandikiwa oparation failed
Dah afadhali..
Nna pc hp2000 sijaiwasha kitambo Ila juzi nimeiwasha inawaka lakini haidisplay chochote kioo cheusi lakini taa ya caps lock inablink kila baada ya sekunde3-4 na taa ya WI-FI inawaka full,Je tatizo linaweza kuwa nin?
Kwako kamanda Pirate, Nina Laptop yangu model HP yenye Processor ya 1Ghz, Ram ya 4 GB (2.99 GB Usable),System type 32-Bit, inafanya kazi slow saana mpaka inakera, Window 8 ProHabari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
Nikiweka windows kwenye pc yangu haimalizi cku mbili ina. corrupt wakati mwingine niki install windows then nikazima ina corrupt hapo hapo