Thanks I’ll tryJarib hiz njia zinaweza kukusaidia
macOS: "WiFi: No Hardware Installed Error", Fix • macReports
Some macOS users may experience this issue. In fact, several users report this problem. Users state that they can't get online because their Mac computersmacreports.com
ExactlyUwa inalia kama mlio wa ina-click alafu inaacha??
Hard disk ni very delicate in case kama ulikuwa hujui... yaani kitendo cha kudondoka tu nyingi huwa hazisomi mazima baada ya kudondoka... kuna posibility ikawa ndo ishakufa
Kama ni hivi, kuna uwezekano wa kuokoa data?
sidhani...
Mtaalamu, USB port za PC dell hazifanyi kazi yaani hazi detect hata kidogo, nifanyeje??Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
Wandugu nina dell optlex 772 niliiweka kwa muda, lakini nimeshangaa kuiwasha haionyeshi monitor (display ) pia hata keyboard haisomi, msaada tafadhali.
Pc yangu Hp huleta blue screen na kuandika kuwa inataka kukoraputi hd pia hd D japo nadelete folder kuipa space mfano ilikuwa na free space 4GB baadae ikasema zimebaki 1.2GB free space
Tatizo ni nin mkuu??
Kama ni kukorupt kwa HDD bas inabid ubadilishe HDD mapema kabla aijakufa na data zako.
Kama kujaa kwa HDD basi jitaidi kupunguza vitu au hata kutafuta external HDD kusud iache kukuletea ujumbe kila Mara,.
Asante huwa inasema imedtect kutaka kurupt na kusema umejiprotekti kama mko wapi mkuu?
Aisee, nacheki vipi??Em cheki Drivers zake kama zipo, na kama hazipo bas download nyingine
Unatumia external speaker?
Pc yangu iliku inazingu bluetooth haikonnect nikatoa driver nikadanload upyaIlikuwa ni ishu gani hii mkuu? Em nikumbushe kidogo