Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

To a betr kisha chomeka charge kama ikiwaka angalia nguvu ya charge yako kwa muda kidogo kama dakika kumi kisha zima rudisha betr chomeka tena.
Pia laptop yang nashangaa ghafla tu nimechomeka chaja baada ya kuisha chaj nilipotaka kuitumia.... Inaniandikia charger is plugged in, Not charging........ Na nikichomoa chaja inazima..... Tatzo nn!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
To a betr kisha chomeka charge kama ikiwaka angalia nguvu ya charge yako kwa muda kidogo kama dakika kumi kisha zima rudisha betr chomeka tena.
Nishawahi kujaribu hii njia ikagoma,
Ngoja nirudie tena.
 
Inaonekana na ina connect ila sauti haihami toka kwebye pc kuja kwenye speaker


Ukitumia earphones au ulishawah jarbu spika nyingine ikawa inafanya hivyo pia?
 
Wakuu hivi kuna njia nyengine ambayo naweza kutumia hdd yangu ya kwenye laptop ambayo ni mbovu kwa sasa?
 
Wakuu laptop Yangu hizi keypad zimegoma ghafla,,,msaada tafadhari
 
Wakuu hivi kuna njia nyengine ambayo naweza kutumia hdd yangu ya kwenye laptop ambayo ni mbovu kwa sasa?


Yap inawezekana kama HDD haikuzurika inabidi ufungue laptop kisha uitoe humo ndani, na unaweza ukaitumia tena
 
Laptop yangu Acer Aspire inajibonyeza key mojawapo inakuwa inaandika *** , inanipa tabu hata nikiwa naweka password au ninapofanya kazi za Word.. shida inaweza kuwa ni nini?
 
Nina dell D Series ya 630 na 620 zote zina tatizo la shot katika motherboard, nikichomeka adapter inazima yenyewe kabla ya pc kuwaka. Mtalamu zinatengenezek kwa gharama gani au kuna manuva mnweza kunigwia nikayatumia kuziweka sawa.
 
Simu yangu haionekani kwenye laptop(lenovo) nikiunganisha kwa kutumia USB cable
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya

Karibuni sana wakuu

Pirate
Mwanzoni apps zilikuwa zina-run kama kawaida, baadaye zikaanza kugoma kufunguka na kuniletea meseji hii;
"This app can't run on your PC". Tatizo ni mini mpaka apps zisifunguke tofauti na hapo awali?
 
Back
Top Bottom