Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana na ina connect ila sauti haihami toka kwebye pc kuja kwenye speakerKwaiyo haionekan Kwenye bado??
Angalia tarehe yako kama iko sawa kisha utumie Firefox kuingia mtandaoni.Unatumia player gani?Mkuu pc yangu ukiplay video inascratch ila sauti inaendelea kama kawaida.....alafu natmia firefox inashindwa kuingia mtandaon
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia laptop yang nashangaa ghafla tu nimechomeka chaja baada ya kuisha chaj nilipotaka kuitumia.... Inaniandikia charger is plugged in, Not charging........ Na nikichomoa chaja inazima..... Tatzo nn!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo hapo unamaanisha windows yako inakuwa fail kila Mara ukizima pc??
Nishawahi kujaribu hii njia ikagoma,To a betr kisha chomeka charge kama ikiwaka angalia nguvu ya charge yako kwa muda kidogo kama dakika kumi kisha zima rudisha betr chomeka tena.
Ukitumia earphones au ulishawah jarbu spika nyingine ikawa inafanya hivyo pia?
Aina Ni DELL , Ni keypads zotee na Ni Mara Ya kwanza toka niinunueNi laptop gani?, na keypads zilizogoma ni zote au baadhi? Je tatizo ni mara ya kwanza leo?
Mwanzoni apps zilikuwa zina-run kama kawaida, baadaye zikaanza kugoma kufunguka na kuniletea meseji hii;Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate