Kamwene kamwene
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,159
- 2,601
Mimi nina samsung note 1 nzito sana hata nikireset bado inakuwa nzito yani slow sana nifanyeje au nika flash
Ipo nda android ngapi ? Fanya kui update hiyo simu yako.
Kama kuna memory card itoe
Computer yangu nikiinstall drivers ndo haisomi kabisa , mpk nirestore ndo isome , nimejaribu (driver enforcement) imeshindika .. nifanyeje
Wakuu msaada hapa, nimejaribu hizo option zote hapo chini bado inakataa, Pc ni hp Pavilion g6.Natanguliza shukran View attachment 1227202
PC yang HP 340 sioni Bluetooth hata nikicheki kwenye device manage siioni sijui nifanyaje niiweke kwa PC yangu
Mkuu hiyo alama nyeusi baada ya neno parimatch.co.tz nimeanza kuiona tokea jana, je inamaanisha nini?View attachment 1250760
Naomba kujulishwa tatizo la PC kugoma kuwaka kabisaaa!Yeah hilo tatizo linasababisha na hiyo window haijawa activated.
Nakushauri utafute activator ya window 10 kisha activate tatizo lako litatibika.
Au pakua Daz Loader activator for window 10 au activator yoyote ile zipo google for free
Naomba kujulishwa tatizo la PC kugoma kuwaka kabisaaa!Mostly inakuwaga time ya kufanya updating au recovering web servers
mimi nna desktop inawaka lkn picha ndo haitoi je tatizo nn?Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
Hp Elitebook 6930pMkuu hp zipo nyingi, kama inawezekana taja na model yake
Pc yangu inawaka ila display inatoa mwanga mdogo sana yani kama 1%,kiasi kwamba kuona vitu kwenye display mpaka nimulike na tochi.
Hapo shida ni nini
lakin nilivyo ifungua niliona kuna kapasta moja imevimba je,haliwezi kuwa tatizo??ila nita angalia na ramTatizo la pC yako ni ram inawezekana imekaa vbaya au zimeharibika, kama unaweza fungua hiyo desktop yako kisha cheki ram zako, au badili