Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

PC yangu inachaji mwisho 50% vp naweza kupata battery mpya?

Je itaweza kutunza charge vizuri?
 
PC yang HP 340 sioni Bluetooth hata nikicheki kwenye device manage siioni sijui nifanyaje niiweke kwa PC yangu

Kama ilikuja nayo Bluetooth device, inakuwaga tatizo la drivers Kwaiyo tafuta driver yake ambayo inaendana na hiyo pc na system Pia
 
Habar mwalimu wa computer
naomba kujua njia ya kufanya Ili desctop yangu isile umeme
shukrani

Kama desktop ya zaman ni ngumu na njia nyepes ni kununua desktops mpya ambazo Umeme umepunguzwa ulaji
 
Yeah hilo tatizo linasababisha na hiyo window haijawa activated.

Nakushauri utafute activator ya window 10 kisha activate tatizo lako litatibika.

Au pakua Daz Loader activator for window 10 au activator yoyote ile zipo google for free
Naomba kujulishwa tatizo la PC kugoma kuwaka kabisaaa!
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya

Karibuni sana wakuu

Pirate
mimi nna desktop inawaka lkn picha ndo haitoi je tatizo nn?
 
Pc yangu inawaka ila display inatoa mwanga mdogo sana yani kama 1%,kiasi kwamba kuona vitu kwenye display mpaka nimulike na tochi.
Hapo shida ni nini
 
Pc yangu inawaka ila display inatoa mwanga mdogo sana yani kama 1%,kiasi kwamba kuona vitu kwenye display mpaka nimulike na tochi.
Hapo shida ni nini

Kama ni laptop ishu kubwa inakuwaga invertor ambayo hiyo ipo kwenye laptop za zaman, ila kwa msaada zaidi ungenielezea ni pc gani, pamoja na model yake kabisa
 
mimi nna desktop inawaka lkn picha ndo haitoi je tatizo nn?

Tatizo la pC yako ni ram inawezekana imekaa vbaya au zimeharibika, kama unaweza fungua hiyo desktop yako kisha cheki ram zako, au badili
 
Tatizo la pC yako ni ram inawezekana imekaa vbaya au zimeharibika, kama unaweza fungua hiyo desktop yako kisha cheki ram zako, au badili
lakin nilivyo ifungua niliona kuna kapasta moja imevimba je,haliwezi kuwa tatizo??ila nita angalia na ram
 
PC yangu ukichomeka adaptor haipeleki moto sijajua shida nini.

Msaada jamani
 
Wakuu PC yangu keyboard inazingua kinoma

Yaani naweza kuwa naandika tu vizuri ila ghafla cursor inahamia mwanzo mwa sentensi

Ila ukipiga ile num lk au screen lk inarudi poa kwa muda kidogo then inarudi kule kule.

Shida ni nini hapo?
 
PC yangu ni Dell desktop nikiiwasha inaunguruma tu feni halafu inazima naomba kujua tatizo litakuwa nini
 
Back
Top Bottom