JF members naomba kusaidiwa kutatua tatizo la hii simu ni Tecno Y6. Nikiiwasha haiwaki mpaka mwisho inaonyesha logo ya Tecno tu, ikionyesha hiyo logo nikibofya kitufe cha kuzimia haizimi mpaka nitoe betri.
View attachment 1283403
Asante sana ngoja nipitie.Uzi maalum kwa ajili ya simu za tecno. Matatizo yake, maujanja na matengenezo
Habar Za midaa Hii wana jamvii??? Huu ni uzi maalum kwa ajili ya tecno kama heading inavojieleza. Wengi wetu humu tunatumia tecno wereva. Basi tushirikishane kwenye uzuri, ubovu na matatizo ya hizi simu zetu pendwa. Kwa mfano mimi natumia tecno C9. Toka nimenunua iko na mwaka, mwanzo ilikua...www.jamiiforums.com
Bado sijapata ufumbuzi wa hili tatizo licha ya kupitia comments za membersJF members naomba kusaidiwa kutatua tatizo la hii simu ni Tecno Y6. Nikiiwasha haiwaki mpaka mwisho inaonyesha logo ya Tecno tu, ikionyesha hiyo logo nikibofya kitufe cha kuzimia haizimi mpaka nitoe betri.
View attachment 1283403
Nauliza, mifumo ya processor ikifa huwa haitengenezeki?Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
Kabla ya kufanya chochote zima simu kwanza. Inazimika ubinye power botton hadi izmike,au kama unashindwa ubinye button ya power na v- hadi izime. Kama ni simu ya button mbele inatakiwa ubinye volume up+ power button simulteneously mpaka itokee either gear au android logo au maandishi madogo ya rangi ya blue.
Then utumie v+ kuselect mpaka ufike reset to factory setting, subiri mpaka iandike complete, then select tena clear cache halafu subiri tena, then chagua reboot, subiri mpaka iwake na ufanye tena setting ya simu.
Bado sijapata ufumbuzi wa hili tatizo licha ya kupitia comments za members
naombeni msaada tafadhali
Tecno yangu ya tangu 2016 bado inachanja mbuga japo baadhi ya App haziwezi kuoparate tena.Bado sijapata ufumbuzi wa hili tatizo licha ya kupitia comments za members
naombeni msaada tafadhali
Suruhisho ni ku flash tu.Tecno yangu ya tangu 2016 bado inachanja mbuga japo baadhi ya App haziwezi kuoparate tena.
Kila la kheri katika kusaka suluhu ya tatizo lako
Suruhisho.
Tecno yangu ya tangu 2016 bado inachanja mbuga japo baadhi ya App haziwezi kuoparate tena.
Kila la kheri katika kusaka suluhu ya tatizo lako
Daaahh, giza tororo hapa, nimeimiss sana Twitter aisee kisa tatizo hili.Inabidi Upgrade OS kama inatumia kitkat (Android Version 4) basi weka Masharmallow au nougat hata Pie. Kutofanaya kazi au kukataa kuinstall app ni kwasababu unatumia Kitkat. Android ikiwa 5 na kuendelea huwa haisumbui kuinstall Apps. Nakushauri weka android version ya 7 au 8 ndiyo nzuri.
Tecno yangu ya tangu 2016 bado inachanja mbuga japo baadhi ya App haziwezi kuoparate tena.
Kila la kheri katika kusaka suluhu ya tatizo lako