Naja naja
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 747
- 1,454
Kuna alama ya earphone inajitokeza kwenye simu hata kama hujachomeka hiyo earphone.
Ukizima simu ukiwasha hicho kialama kinapotea ukichomeka tu earphone ukichomoa bado kinaendelea kubaki.
Nimejaribu njia nyingi kama kuchomoa earphone na kuchomeka ila bado haijasolve tatizo, nimejaribu ku wipe data/factory reset lakini bado tatizo lipo pale pale.
Msaada wenu.
Aina ya simu ni Tecno WX3.