Tatizo lolote la PC/device

Mimi natumia dell latitude E6410 siku zote nilikuwa natumia window 7,kuna jamaa kaniwekea window 10 wiki iliyopita ila nikatumia kama siku 2 baada ya hapo kila nikiiwasha inaishia ile log ya window tu, nikatafuta mtu mwingine akaniwekea window 10 tena, nikatumia siku 2 kisha tatizo likawa lile lile nini tatizo hapo, ram 4gb/rom 500gb

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ilipiga shoti tafuta Fundi ambaye ataitoa shoti kwanza, kisha kama tatizo lisipokuwa solved Fundi atarekebisha zaidi


Sent from my iPhone using JamiiForums
Inatatizo la power kuna ice za power mbili kwenye bodi ya pc karibu na terminal ya betri fungua upime kama una mita , na chanzo mara nyingi cha tatizo hilo huwa ni adspter huwa inasababisha

sent from toyota Allex
 
Tatizo hilo ni tatizo la mkanda wa keyboard umepata mtikisiko hivyo !! Jaribu sana kujiifungua toa mikanda halafu urudishie vizuri

sent from toyota Allex
 
Fanya kuapragrade window usi format partion itakaa poa

sent from toyota Allex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…