Tatizo lolote la PC/device

Wakuu

Nahitaji kioo cha Samsung S8+.

Naweza pata wapi na kwa bei gani roughly.
 
Naomba kusaidiwa kujua core(i)kubwa Kwenye PC nasaidia nini
Ni kama mfano WA simu yako unakuta Samsung note 5 ad note 7, so kwenye computer core I zinasaidia kuongeza speed, performance na hata nyingine inasaidia durability ya computer, but Zaid n hivyo viwil vya mwanzon

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Kuna shida hapa katika upigaji wa window, kuna shida hapa pc inasema we could not create new partition
 
Pc yangu Hp spectre imepata cracks kwny kioo. Nilikuwa nahitaji kubadili kioo
 
Desktop imekuja kutoka dukani na Ubuntu nimepiga window 10 but inapofanya installation unapofika 70% inaanza upya je tatizo nini.
 
Desktop imekuja kutoka dukani na Ubuntu nimepiga window 10 but inapofanya installation unapofika 70% inaanza upya je tatizo nini.
Ungeongezea nyama kidogo, maana kuna uwezekano ikifika asilimia hizo inaji restart na kuboot kupitia installation media.... kama ni hivyo make sure inapojirestart cd ta window ama flash vinakua havipo connected na pc...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…