Tatizo lolote la PC/device

Siwezi uziwa za ubora mdogo. Najuaje kama iko sawa
FYI, betri inayokuja na ubora mzur nyingi ni zile ambazo zinakuja na pc Yan namaanisha mpya inayokuja na PC mpya Tu, hizo nyingne inakuwaga kupata Kwa kuotea but ubora wake sio mzuri wala sio mbaya pia inakuwa kawaida Tu
 
Pc yangu imeleta mstari mweupe kwenye kioo. Kutoka juu kwenda chini (vertical). Haina crack, ila ilijitokeza baada ya kuangalia movie usiku, nikazima asubuhi naiwasha nakuta mstari mweupe. Sikuilalia au haijadondoka. Ni HP
Sasa mkuu Kama imekufa uwezo wa kuitumia pia haiwezekan kabisa, cha kufanya Kama unaweza kanunue hard disk nyingne mkuu.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Pc yangu imeleta mstari mweupe kwenye kioo. Kutoka juu kwenda chini (vertical). Haina crack, ila ilijitokeza baada ya kuangalia movie usiku, nikazima asubuhi naiwasha nakuta mstari mweupe. Sikuilalia au haijadondoka. Ni HP
Mkuu issue hapo ni kubadilisha kioo
Nitafute nipo machinga nikubalishie bei 110000
No hii 0714894219
 
Wakuu Nina Desk top pale Ofcn ni ya kazi

Sasa Ile Desk top haija badilishwa window huu ni mwaka wa 3.

Pia natumia office ya 2010.

Pia ndani ya Case yake ni vumbi na uchafu mwingi.

Pia ina kawaida ya ukichapa maandishi yana jifuta yenyewee as if mtu kashikilia baton ya backspace.

Kigumu ni mashine ya office nashindwa nianzie wapi na kuitoa pale haiwezekani kuipeleka Kwa fundi.

Na Mtumiaji ni Mimi pekee.na ndo naijua
 
Mkuu ni issue ya kawaida badilisha
Hard disk HDD,
Hupo wapy tufanye kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…