babu salu
Member
- Jan 5, 2020
- 27
- 12
nataka kujua ubora wa compyuter je niangalie kitu kipi
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na matumizi yako hasa ni kwaajili ya NN?nataka kujua ubora wa compyuter je niangalie kitu kipi
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mkuu Msaada hapo JuuHabari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.
Karibuni sana wakuu
Pirate
Swali je inapoteza majira? Saa na tarehe namaanisha kama ndio jibu weka CMOS battery iliyopo imekwisha na tatizo litakwisha imediate.Pc yangu ni HP ProBook 6360b ninatumia OS ya Windows 7 Professional.... Sasa Pc Inakua inajiwasha yenyewe pindi tu nikichomeka chaja yake (lakini betri yake ilishakufa), na pia wakati ninapoizima (shut down) yenyewe inajirestart badala ya kuzima. Je hapo tatizo nini?
Button za pic hazifanyi kazi esp right click matibabu ni nn...Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.
Karibuni sana wakuu
Pirate
Majira haipotezi hata kama nikitoa hii battery iliopo na kuirudisha tena bado majira yakuapoa tuuSwali je inapoteza majira? Saa na tarehe namaanisha kama ndio jibu weka CMOS battery iliyopo imekwisha na tatizo litakwisha imediate.
Pc yangu ni HP ProBook 6360b ninatumia OS ya Windows 7 Professional.... Sasa Pc Inakua inajiwasha yenyewe pindi tu nikichomeka chaja yake (lakini betri yake ilishakufa), na pia wakati ninapoizima (shut down) yenyewe inajirestart badala ya kuzima. Je hapo tatizo nini?
Apo kwenye kufungua kaka ndio issuesijajua hp gani, ila iyo ni mouse na tatizo unaweza kuifungua kisha usafishe mouse pad, kama ikigoma basi nenda kwa fundi akubadilishie.
Pouakama huna uzoefu bora upate fundi akusaidie mkuu.
Habari, naomba msaada wa product keys for windows 7 professional
piraticy.wordpress.com
mkuu ngoja wajuzi waje wakupe muongozoMSAADA TUTANI.
kwa bahati mbaya juzi kati nimejikuta nime-format local disc D ya pc yangu ambayo nimehifadhi vitu vyangu mbalimbali muhimu mnooo, naomba msaada wa namna yakurudisha kwa yoyote anayefahamu.
Natangulisha shukrani.