Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,793
- 1,961
Uzi huu why usitengeneze group la whatsap ili tuwe tunabadilishana uzoefu kwa njia ya video na call recoding, ni ushauri tu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
natumia window 10 mkuu jinsi ya kuweka driver ndo kipengele aiseeIna Bluetooth, labda Kama ujaweka driver yake. Unatumia Windows gani na Una drivers zote ukichek?
nipe naomba maelekezo mkuu mimi ni mweupe sana kwenye haya mambo kwani najua kuwasha na kazi ndogondogo tuKuna njia rahis Tu ya kua-update drivers, connect internet then update Windows uwa zinakuja na updated drivers
Kama Una source yoyote ya internet then connect na computer yako ambayo ipo ON tayari, baada ya hapo nenda kwenye start kisha search windows update itakuletea updates ambayo unaweza kua-update Kwa wakati uo na hizo drivers zote ambazo zipo missed zitakuja pia.ok
nipe naomba maelekezo mkuu mimi ni mweupe sana kwenye haya mambo kwani najua kuwasha na kazi ndogondogo tu
ahsante mkuu,zmekuja driver nyingi sana ila ya bluetooth sijaionaKama Una source yoyote ya internet then connect na computer yako ambayo ipo ON tayari, baada ya hapo nenda kwenye start kisha search windows update itakuletea updates ambayo unaweza kua-update Kwa wakati uo na hizo drivers zote ambazo zipo missed zitakuja pia.
poa mkuuUpdate hivyo hivyo alaf uangalie itakuwaje.
hp.pro book 450.ina window 10Pc gani, ina windows gani?